Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Hongera darasa.
Siku moja prof alienda kwa lodilofa ile lodi anamuona tu getini akawa anawaza huyu tapeli sijui anataka kunitapeli nini ?Hongera zake!
Siku moja prof alienda kwa lodilofa ile lodi anamuona tu getini akawa anawaza huyu tapeli sijui anataka kunitapeli nini ?
Basi prof anaanza kusalimia lodi kaingiza mkono mfukoni katoa pesa huku anamwambia acha kuanza kutunga maneno mimi mtoto wa mjini sura yako inaonyesha una nenge nenda kale
basi kwa unyonge prof kaichukua pesa huku moyoni anasema huyu kipipa kanijua nia yangu kisha akajisemea "lakini kweli ningeweza kumtapeli huyu "
Wacha Maneno weka muzikiKuna wale jamaa wanaojiona kama mziki wa kwao wao na huwezi kufanikiwa bila kupitia kwao wanazidi kubana pumbu ili jamaa aharibikiwe lakini wapi Darassa anawaonyesha kuwa huu Muziki sio wa Saidi Fella wala wa Babu Tale.
Unajisikiaje wimbo wa Pimbikiba 'Aje' kuzidiwa views na wa mtoto wa kitaa Darasa?Kuna wale jamaa wanaojiona kama mziki wa kwao wao na huwezi kufanikiwa bila kupitia kwao wanazidi kubana pumbu ili jamaa aharibikiwe lakini wapi Darassa anawaonyesha kuwa huu Muziki sio wa Saidi Fella wala wa Babu Tale.
Alafu we kwenu wanakuona una akili mpaka kwenye vikao vya familia wanakualika uchangie mada.Unajisikiaje wimbo wa Pimbikiba 'Aje' kuzidiwa views na wa mtoto wa kitaa Darasa?
Neno la kweli ni chakula. kina meneja wanapanikiKuna wale jamaa wanaojiona kama mziki wa kwao wao na huwezi kufanikiwa bila kupitia kwao wanazidi kubana pumbu ili jamaa aharibikiwe lakini wapi Darassa anawaonyesha kuwa huu Muziki sio wa Saidi Fella wala wa Babu Tale.
We kweli Pimbi hujui hata hesabu,ikiwa MUZIKI YA DARASA INA MWEZI MMOJA INA 3M JE IKIFIKA MIEZI SABA (7) ILIYONAYO AJE ITAKUWA NA NGAPI .......??Alafu we kwenu wanakuona una akili mpaka kwenye vikao vya familia wanakualika uchangie mada.
Aje ina viewers 5+ na Muziki Viewers 3+ sasa sijui we ulisoma hesabu za wapi ukafundishwa Kuwa 5 na 3 namba kubwa ni 3.
Najua wapenzi wa Madale Roho zinawauma maana mnaona huu Muziki kama wa kwenu nyie kumbe ni wa kwetu wote.
Huu sio wa Fella wala wa Babu Tale.We kweli Pimbi hujui hata hesabu,ikiwa MUZIKI YA DARASA INA MWEZI MMOJA INA 3M JE IKIFIKA MIEZI SABA (7) ILIYONAYO AJE ITAKUWA NA NGAPI .......??