Daraja reli ya TAZARA lasombwa na maji, mawasiliano kati ya Makambako na Mbeya yakatika

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
Wakati Rais Magufuli akituhimiza tuchape kazi tupuuze Corona, tunaomba updates za ukarabati wa daraja moja wapo katika reli ya Tazara lililosombwa na maji na kusababisha treni za mizigo na abiria kushindwa kusafiri kati ya Makambako na Mbeya.

215ED94E-83B4-4932-890B-769112390174.jpeg
4783335F-BDA0-4CD5-901F-7B6E46B7CE76.jpeg
E52C1138-D5D8-42F8-AEEA-748B64109D3B.jpeg
340F1004-EABC-4F34-AF5B-9E97237129F6.jpeg
 
Mwaka huu uchumi utakuwa kwa 8%. Wataalam wa NBS na BOT watathibitisha kama walivyo thibitisha kuhusu zile noti zetu zisizokubali kukaa na kirusi cha corona
Thubuutuuuuuuu

In God we Trust
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom