Magufuli anahimiza tujenge uchumi tutajenga je bila madaraja thabiti?Nani kakupa mamlaka ya kupost?? Kuwa "mzalendo"
Mwaka huu uchumi utakuwa kwa 8%. Wataalam wa NBS na BOT watathibitisha kama walivyo thibitisha kuhusu zile noti zetu zisizokubali kukaa na kirusi cha coronaDah waziri Kamwelwe ana kazi kweli kweli!
Dah waziri Kamwelwe ana kazi kweli kweli!
wakati magufuli akituhimiza tuchape kazi tupuuze korona, tunaomba updates za ukarabati wa daraja moja wapo katika reli ya tazara lililosombwa na maji na kusababisha treni za mizigo na abiria kushindwa kusafiri kati ya makambako na mbeya.
View attachment 1395866View attachment 1395867View attachment 1395869View attachment 1395870
Dah waziri Kamwelwe ana kazi kweli kweli!
Nani kakupa mamlaka ya kupost?? Kuwa "mzalendo"
hahahahaha! .duh yule waziri sijui anajisikiaje huku alipo anahisi hizo mvua azimtaki mema maana siku ile alikoswa koswa kutumburiwa
Wabongo ni shida kweli
Huyu Waziri husika atanyofolewa mda si mrefu! Tunasubir muda tu sasa!
Mvua zinataka kupita na kivuli chake!
ThubuutuuuuuuuMwaka huu uchumi utakuwa kwa 8%. Wataalam wa NBS na BOT watathibitisha kama walivyo thibitisha kuhusu zile noti zetu zisizokubali kukaa na kirusi cha corona
Hahahahaha Soon anaaibishwa na kutukanwaDah waziri Kamwelwe ana kazi kweli kweli!