Daraja refu kuliko yote duniani linalokatiza bahari, wachina hao.

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
grapes.jpg

securedownloadCA0WSZYL.jpg

securedownloadCA0Z0M8B.jpg

securedownloadCA77FHGT.jpg

securedownloadCAUXM96E.jpg

securedownloadCAWVLDBL.jpg

securedownloadCAGBSI3H.jpg
 
Hilo daraja ni 26miles ambayo ni sawa na 46km afu wamejenga kwa miaka 4 tuu,daraja la kigambon tokea nko form 2 1997 wanasema wanajenga mpaka leo chakushangaza hata wamarekan wamestuka sana na wameanza kuweka pingamiz daraja hilo lisiingie ktk world guiness book eti kisa halijanyooka lina köna nyingi
 
Msikate tamaa jamani tutafika tu, kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha! Mungu ibariki tz.
 
Nahisi huku ni ufisadi na kuwa na mamluki serikalini. Rwanda sasa wanakuwa na chuo kikuu cha kutoa elimu ya teknolojia ya IT kitakachokuwa knaongoza East and Central Africa na warwanda watasoma bure wkt watu wa East africa watapewa nusu fee na serikali ya Rwanda
 
Kwa madaraja tu akina Xu Chin wako fit ebu ona yale ya TAZARA toka miaka ya 70 bado yako fit kama ya jana!
 
Naona kama siangalii hivi.....kama ndoto....sipati jibu kabsaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom