daraja laingiza milion elfu moja na mia tatu!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
imeelezwa kuwa daraja la kigamboni maarufu kama nyerere bridge limekusanya kias cha shs bilion moja nukta tatu kutokana na tozo mbalimbali zinazotozwa darajani hapo tangu lilipofunguliwa may 14 mwaka huu. nadhani ni mwanzo mzuri ikiwa mapato hayo yatasimamiwa vizuri huenda deni likalipwa mapema zaidi kuliko ilivyokadiriwa na likawa chanzo kingine mhm sana cha mapato ya jiji letu. nashauri meya wetu atupie jicho hapo ili mchwa wa lumumba wasiende kujenga vichuguu vyao hapo darajani.
 
Back
Top Bottom