Daraja la Zanzibar - Bagamoyo muhimu kwa uchumi

Uchumi wa Hong Kong na mainland China waweza kuufananisha na huu uchumi wa Tanganyika na Unguja??

Hapo kuna politico & socio economic gains za $trillions even gazillions! Siyo huu uchumi wa madafu
Upo sahihi sana mkuu.

Nilimfahamisha tu yule alieuliza meli zitzpitaje kana kwamba hajui unaweza kuweka daraja la kuinua na kulaza(kufunga na kufungua) wakati meli inataka kupita.
 
Back
Top Bottom