Daraja la mshahara

kinyangesi

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
247
86
Habari za leo wana JF,

Nahitaji uelewa wenu juu ya daraja hili la mshahara PGSS 6.1
Je hilo ni shilingi ngap?
Kama haufahamu chochote kuhusiana na hilo ni vema ukauacha uzi huu, wenye uelewa naomba msaada wenu wa haraka.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom