Daraja la Mbaka, barabara ya Busokelo - Tukuyu, sasa tunaenda miaka 25 hii miradi haijakamilika, tatizo nini?

Tatizo wakurugenzi wetu,apewe mzawa wa hapi atafanya vizuri .hao wa kuja mawazo yote yapo dar.
 
Hiyo halimashauri imeongozwa na Chadema kwa muda mrefu sana.
Akili kubwa sana mwamba, they had Mwandosya, nyakati za Magufuli alikuwa upande wa kupinga na kwa influence yake angetoa maombi nyakati za JPM ingekuwa hadithi huo ujima wao. Wapambaneni na huyo nguchiro wao Mwakibete sifuri kbsa hawa wa busokelo, wamejaa upopoma na undezi kama wote.
 
Back
Top Bottom