Daraja la makongo juu kwenda goba stendi litengenezwe -kinondoni municipal mpooo!!!

Sendeu

Member
Jun 29, 2009
59
2
Wakazi wa Kimara,Mbezi Louis,Tegeta,Goba,Madale nk daraja la makongo juu hadi goba stendi ni kiungo muhimu sana hasa kupunguza makali ya foleni kwenye barabara kubwa hasa MOROGORO ROAD na ALI HASSANI MWINYI ROAD -hivyo basi tunaomba daraja hili litengenezwe ili tuweze kupita kwa urahisi na kwa muda wote hasa katika kipindi hiki cha mvua ambapo msimu ndio unakaribia -Manispaa,Wizara ya ujenzi na Serikali kwa ujumla tunaomba sana mtuokoe kwa hilo ili nasi tuweze kufanya mambo yetu kama wakazi wa maeneo mengine-Asante
ni naomba kuwasilisha!!!
 
Back
Top Bottom