Daraja la kigamboni ndivyo litakavyo kuwa miaka 20 ijayoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daraja la kigamboni ndivyo litakavyo kuwa miaka 20 ijayoo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 9, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wanafunzi wa Darasa la pili shule ya Msingi ya Mnazi mmoja mjini Dares-Salaam wakiangalia Ramani ya Daraja la kigamboni.
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu! hii ni ndoto ya Alinacha, masikini weee! wanawadanganya wananchi haswa hawa watoto wa watu. Hilo daraja halitoweza jengwa na hiyo ni propaganda ya mafisadi|! Danganya toto!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  hiyo ni moja za kampeni ya uchaguzi wa mwaka 2015 hahhahahahah Janja ya Paka Panya kwisha tambua........
   
Loading...