ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
huyu jamaa ni mmbea,muongo na mchonganishiDah... Halaf eti huyu nae atajiita mwanaume, nyuzi nyingine hizi wanazianzisha sijui wakiwa katika pozi gani
Hilo ni daraja letu sisi, hatusemi ni daraja bora kupita yote dunian, ila kwakuwa hatukuwah kuwa nalo acha tuwe proud, sijaona mahala mtz kasimama kusema hili ni daraja bora zaid au la maajabu hapana
Tunafurahia kuwa nalo linatusaidia., sasa wewe povu la nini!!?