tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,793
- 18,217
- Thread starter
- #21
mkuu, nini kimepingwa hapa? sipingi ujenzi wa daraja, ijapokuwa limejengwa KIFISADI (hujasikia jana watu wametumbuliwa?)....ninachopinga ni kiwango cha MIKELELE tunayopigiwa hadi mradi unageuzwa kuwa kete ya kisiasa na baadhi ya wanasiasa uchwara. umenielewa?Kazi ya upinzani ni kupinga kila kitu, hongera kwa kutimiza wajibu wako.