DARAJA kuunganisha Tz na mozambique. barabara kuunganisha na Malawi.

Kidzogolae

Senior Member
Apr 20, 2008
133
2
Hi, hii ni good News kwa watz wote. wote tunajua kuwa kuna daraja kubwa sana linajengwa kule Mtwara kwenye mto Ruvuma kuunganisha na Mozambique, ili iwe rahisi kusafirisha bidhaa kwa siku moja hadi south Africa. pia wananchi wa Mozambique watakuwa na haki ya kuja tz bila passport. Barabara za mozambique ni nzuri zilijengwa na makaburi toka kule hadi Africa ya kusini. ninapoongea hivi, Kasano na watz walisha sign mkataba huu miezi kadhaa iliopita na walionyeshwa na vituo vingi vya tv.

Pia, kuna muunganiko mzuri unaoonekana kujengwa kwenda malawi ili kuuwawezesha watz kufanya biashara na malawi. rail toka Dsm hadi Zambia iliyojengwa na wachina baada ya uhuru, kimekuwa ni chanzo kizuri kwa mapato ya tz through bandari ya Dsm. barabara hiyo ta tz zambia pia ni kiungo kikubwa. kwasasa, Tz imesign mkataba na Rwanda, wanaunganisha reli toka pake kigoma hadi Rwanda kufungua milango ya DRC congo through Rwanda, pamoja na kwamba kuna mpango wa kujenga bandari kubwa ziwa tanganyika kwaajili ya congo.

Look, TZ will be great. we don't even need Kenyans wanaotuona sisi kama hatuna akili na kutudharau na kutuma majambazi waje waibe na kuvuja kule arusha na Tanga. we can make it, and we are going to make it. TUKATAE KWA SAUTI MOJA kumilikiwa na wakenya, wenye nia ya kuja kuiba na kutumia raslimali zetu. bora tuendelee kuexpand na sisi tumiliki nchi zingine, tusimilikiwe. ni vizuri kuwa, visiwa vya comoro ni wateja wetu wakubwa, kufungua mlango hadi Mauritius na Reunion. and the far east. God bless Tanzania, Amin.
 
Teheheheheee, watu hawapendi hii topic. well, kwaherini. tuanzishe ingine basi. naheshimu mawazo yenu.
 
Back
Top Bottom