Useless, hili ni faraja ama kivuko.Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,
Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
View attachment 1995568