DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

Wanachama wake am sure watasema Inshallah huku wanateketea maana zito ndio mbeba chama...

Kama amekamatwa kwa sababu ya Bunge ile barua sasa wamejidanganya wao wenyewe kuwa hawaendeshi Bunge kibabe!!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndo taarifa zinavyodai...

======


TAARIFA KWA UMMA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanj a wa ndege wa JNIA, Dar es salaam wakati akitoka Kigoma.

Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake

Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo
Hao wanasheria nao hawaeleweki,sababu ilishatolewa ya yeye kutakiwa kukamatwa.
 
Matumizi mabaya ya raslimali zetu huyo ni wa kuitwa na kamati hiyo naye akaenda mwenyewe hakuna sababu ya kutumia polisi
 
Back
Top Bottom