DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

Wamwachie Zitto ni msema ukweli, hao CCM na Police yao wanataka wote tuwe km kuku wa kizungu ndani ya Nchi yetu wenyewe!? Vitendo vya kishamba na utawala wakishamba tu!
 
MAKAMANDA INGIENI BARABARANI MKAMTOE LISSU ALIPIGWA RISASI MMEKALIA KULALAMA KWENYE MITANDAO ZITTO KAKAMATWA MNALALAMIKA KWENYE MITANDAO MADIWANI WENU WANANUNULIWA MNALALAMIKA KWENYE MITANDAO INGIENI BARABARANI KAMA MISRI NA TUNISIA
sijui kama ulikuwa tayari umezaliwa lakini 1972 Wazanzibari hawakulazimika kuingia barabarani.

the rest is history!
 
Kwani mambo ya BOT hayawahusu hao wananchi wanaopiga kura za diwani? Data hizo za BOT mbona zinaweza kutumika katika baraza la madiwani kuleta maendeleo sasa kma zinapotoshwa na idara ya takwimu kwa nini watu wasielezwe?
Nchi imekuwa ya kienyeji sana kwa sasa.

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alishatoa Muongozo wa nini cha kuzungumzwa

Ukiwa mbishi ndo yana kukuta haya
 
Alisema wakitaka kumkata wanakutana na mugebuka badala ya yeye sasa sijui imekuaje wamemkamata
 
Back
Top Bottom