Tanganyika mkoloni na mkandamizaji wa haki za Zanzibar chini ya muamvuli wa JMT.
Yaani muungane lakini ya Zanzibar ni ya Zanzibar alafu ya wote (JMT) ni ya Tanganyika!
Kifupi Tanganyika "isiyokuwepo" imeikalia kimabavu Zanzibar
Aibu sana yaani!!
 
... wakati Kiduku siku kama ya leo hufungulia ghala za jeshi kuonesha creativity aka brains za watu wake sisi tunawaleta nani sijui mkandamizaji kuonesha upumbavu mbele ya viongozi wa dunia. Aibu tupu.
 
Hivi huyu masanja nani kampa nafasi hawamuuliza anaenda kufanya nini ?
Aisee karopoka ujinga mwingi sana yeye auonae ni kichekesho.
 
Mbaka nimetetemeka huyu masanja ameonge utumbo sana yani mambo ya hovyohovyo tu mbele ya wagemi. Aibu sana.
 
.... Sasa anamtaja Joe Biden na US kwenye hadhira kama ile inahusu? Mjinga kweli.
 
Hivi huyu masanja nani kampa nafasi hawamuuliza anaenda kufanya nini ?
Aisee karopoka ujinga mwingi sana yeye auonae ni kichekesho.
Anaomba kutest mitambo ya kijeshi na Kagame!! Anafikiri atapigiwa makofi. Hivi Hawa wasanii wetu huwa hawafanyiwi rehearsal?? Yaaani kaboa kiwango cha sgr!!
 
Yani ni mpumbavu nafhani hata waliompa nafasi wanajuta...! Angekuwa anakunywa pombe ningesema amelewa!

Kifupi hata ufanikiwe vipi shule inamuhimu sana kwa alivyoviongea angekuwa na shule kichwani angechuja maneno.
 
.... Sasa anamtaja Joe Biden na US kwenye hadhira kama ile inahusu? Mjinga kweli.
Jinga sana, niaibu kwa waandaaji next time inabidi kumuuliza mtoa burudani anataka kuongea nini kwenye hadhira kama ile ili kuedit ujingaujinga wote.
Anasema eti tumenunua mavifaru hayana kazi na mkuuwa majeshi yupo bora tuyatest kwa nani sijui, Nonsense kabisa.
 
Back
Top Bottom