Hii ni tofauti watu wanalia na baadhi kuzimia kabisa.Yaani unawashangaa Wabongo kujaa kwenye matukio wakati kazi hawana?! Tafuta clip ya Msiba wa Kanumba na Ruge Mutahaba!!! Bongo hata akifa Amber Rutty kisha tukio lipate airtime na hatimae kupelekwa Taifa, lazima nyomi liwepo!!!
Ukosefu wa ajira
1999Nimezaliwa 87
Vipi mkuu.
Kwani kuna ummati ulishawahi kutokea kuzidi huu?
Hujui Tu, Hili Siyo Tukio La KwanzaNimezaliwa 87
Vipi mkuu.
Kwani kuna ummati ulishawahi kutokea kuzidi huu?
Kwa hiyo hujazimia si ndio?.Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
Ahsante sanaEeh ulipotea mitaa hii mama. Karibu tena.
We mwendawazimu wa mtandaoni!Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
Watanzania kujazana kuangalia matukio tuko vzuri hasa nchi Ina population kubwa iliyo joblessNimekumbuka nyomi ya Lipumba siku anarudi toka ulaya kwenye kamati ya kufufua uchumi
Wanasema wameletwa na maloriTizama nyomi ya watu, Kweli jamaa alisema tutamkumbuka.
Angalia msafara kuelekea air port.
Si ndio hapo!!!. Tukubaliane tu kuwa Magufuli alikuwa mtu wa watu,potelea mbali madhaifu mbalimbali.Unaweza kukimbizana na msafara Kweli Wayule usiyempenda Kweli!
Unaweza tandika khanga njiani kweli!
Mbona una force upendo ukimpenda wewe yatosha usitake watu wafananeAcha kuandika pumba....
He was loved at all
Hayo ni mawazo yako ila ukweli mnaujua by the way huwezi pendwa na kila mtu wewe mwenyewe huwezi pendwa kila sehemu.Kwanza wewe mwenyewe kuleta tu hii topic hapa inaonesha kuna mahali umeona kwa macho kabisa hapendwi
Usingekua umeona mahali au una hofu kua hapendwi usingeleta huu uzi to begin with!
Deal with it,he is dead,no one wants him,chunk of us like 50% do want him at all..and nothing you can do hata mtupeleke jela wote
Opposition nchi hii ni 50% na wote hatumpendi,na huko kwenu kwenyewe kuna percent ilikua haimpendi
Hii makes u pro Magufuli shit in your panths...hamlali,kubalini hali halisi...people are happy this mtu is dead kikweli maana tuna wasiwasi anaweza fufuka...
DEAD!
Wewe bila shaka una bifuna zaradi sababu ulikua unaiba mzigo wakeHata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
Futa maneno yako hayo ya mwishoni.Tupo Wana JF tuliompenda bwana.Nilichogundua ni kwamba magufuli anapendwa Sana na watu wenye maisha ya kawaida ila Kwa watu wlioguswa biashara, kazi na mambo yao hawamkubari ila kiaslimia magufuli anapendwa na watu wengi ukilinganisha na wasiompenda. Sana Sana wasiompenda wapo JF.
Umesema kweli.Kwenye misiba yote mikubwa ya kitaifa huu wa JPM umevunja rekodi.