Yaani unawashangaa Wabongo kujaa kwenye matukio wakati kazi hawana?! Tafuta clip ya Msiba wa Kanumba na Ruge Mutahaba!!! Bongo hata akifa Amber Rutty kisha tukio lipate airtime na hatimae kupelekwa Taifa, lazima nyomi liwepo!!!
Hii ni tofauti watu wanalia na baadhi kuzimia kabisa.
 
Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
We mwendawazimu wa mtandaoni!
Katafute cheti halali kwa kusoma, usihamishie uzembe wako kuchukia wasiochukiwa mfyuuuuu!
 
Kwanza wewe mwenyewe kuleta tu hii topic hapa inaonesha kuna mahali umeona kwa macho kabisa hapendwi

Usingekua umeona mahali au una hofu kua hapendwi usingeleta huu uzi to begin with!

Deal with it,he is dead,no one wants him,chunk of us like 50% do want him at all..and nothing you can do hata mtupeleke jela wote

Opposition nchi hii ni 50% na wote hatumpendi,na huko kwenu kwenyewe kuna percent ilikua haimpendi

Hii makes u pro Magufuli shit in your panths...hamlali,kubalini hali halisi...people are happy this mtu is dead kikweli maana tuna wasiwasi anaweza fufuka...

DEAD!
Hayo ni mawazo yako ila ukweli mnaujua by the way huwezi pendwa na kila mtu wewe mwenyewe huwezi pendwa kila sehemu.
 
Nilichogundua ni kwamba magufuli anapendwa Sana na watu wenye maisha ya kawaida ila Kwa watu wlioguswa biashara, kazi na mambo yao hawamkubari ila kiaslimia magufuli anapendwa na watu wengi ukilinganisha na wasiompenda. Sana Sana wasiompenda wapo JF.
Futa maneno yako hayo ya mwishoni.Tupo Wana JF tuliompenda bwana.
 
Back
Top Bottom