Mambo Ya Kawaida Haya.
Apumzike Kwa Amani
Amelala Mauti
Tutamkumbuka Sana
 
Tizama nyomi ya watu, Kweli jamaa alisema tutamkumbuka.
Angalia msafara kuelekea air port.
Wengi hapo ni akina mama ambao wanasubiri kupewa ugali na mwanaume,awamu ya magufuli walioumizwa wengi ni wanaume fanya utafiti kidogo hapo mtaani kwako uliza akina mama vipi huu msiba wa Rais wetu ?Watakujibu kwa huzuni sana kwamba tumeumia lakini ukija kwa wanaume watakuambia aende zake tu
 
Nilichogundua ni kwamba magufuli anapendwa Sana na watu wenye maisha ya kawaida ila Kwa watu wlioguswa biashara, kazi na mambo yao hawamkubari ila kiaslimia magufuli anapendwa na watu wengi ukilinganisha na wasiompenda. Sana Sana wasiompenda wapo JF.
 
Wengi hapo ni akina mama ambao wanasubiri kupewa ugali na mwanaume,awamu ya magufuli walioumizwa wengi ni wanaume fanya utafiti kidogo hapo mtaani kwako uliza akina mama vipi huu msiba wa Rais wetu ?Watakujibu kwa huzuni sana kwamba tumeumia lakini ukija kwa wanaume watakuambia aende zake tu
siku zote wanaolia na kujitokeza misibani ni akina mama
 
Yaani unawashangaa Wabongo kujaa kwenye matukio wakati kazi hawana?! Tafuta clip ya Msiba wa Kanumba na Ruge Mutahaba!!! Bongo hata akifa Amber Rutty kisha tukio lipate airtime na hatimae kupelekwa Taifa, lazima nyomi liwepo!!!
 
Utaenda mwenyewe

Hata ruge alijaza nyomi, pia watanzania hufatilia mambo ku chabo haihusiani na upendo mie mwenyewe nimeenda kuchabo msafara wake na haihusiki na upendo
Nimekumbuka nyomi ya Lipumba siku anarudi toka ulaya kwenye kamati ya kufufua uchumi
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom