Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Sheikh Ponda anasema CCM ikikataa kushindwa option ya pili ni kuingia msituni
Haya maneno magumu sana pale yanapotamkwa na anayejiita kiongozi wa dini.
Ponda ataingia msituni na nani? Au keshaandaa kikundi cha kigaidi
 
Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
we sikushangai kwa kuwa nakufahamu mbona nguo umevua sana hadharani
kwa hiyo hata ukivua watu hawashangai kwa kuwa u.c.h... wako hauna thamani zaidi zaidi ni kinyaa tu
 
Watu zaidi ya 400 wameuawa. Mkuranga kibiti rufiji Kilwa, watu zaidi ya 400 wameuawa na Serikali haijawahi kusema. Wamekufa katika kipindi cha miaka 5. Nani anayesema hiyo ni amani.
Hili suala siyo la kulitumia kama kete ya kisiasa.
Hapa LISSU na CHADEMA wanajiingiza kwenye mgogoro mkubwa sana hapo baadaye kama watashinda.

Kumbukeni suala la mahakama ya kazi lilivyo muingiza Kikwete Ikulu na likaja kumletea shida Sana akiwa madarakani kiasi Cha serikali yake kuwaingiza rumande viongozi wa wanaodai mahakama ya Kashi kibabe.
 
Back
Top Bottom