Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

.
JamiiForums1478737657.jpg
 
chakula na
Hapo ndio wamekubali kushikishwa na upinzani wasio weza hata kuwanunulia.. aiye andika hayo Mola atamjibu, duniani watu wengi bado wanakufa.. ni kuwa na akii za kutekwa vichwa na mabeberu wasio wajali kabisaaaa..kuandika haya ya ugonjwa.. waufate waupate
Umeandika Nini binti maringo?cheusi mangala...embu rudia kuandika MREMBO....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Na unashangilia kutokuwa hewani...,
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
aisee WATU wa lumumba akili mmemwachia Nani?polepole au?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
We umeona wapi nimeshangilia? Hoja yangu Ni kwamba kama kuna mtu bado alikuwa hajaleta uzi wake hapa hasa ile ya kujifariji kuwa Lissu atashinda aulete hapa kabla ya kesho, maana baada ya kesho tutakuwa busy na nyuzi za malalamishi kutoka ufipa.
Kwa kuwa tayari jamaa ni mteja wa ICC kupitia matukio ya visiwani, HAKUNA shaka
 
Simpi Kura si Kwa sababu ninachuki naye, hapanaa, Bali karudi akiwa amebadilika na haeleweki kabisa kiasi cha kusema, ni dhahili katumwa na amekwisha chukua chake tayari kutufanya kuwa koloni la Mabeberu tena!!

Kwa nini kupoteza Kura yako ewe Mtanzania???

Mpe JPM Kura yako Ili tujenge Taifa lisilotegemezi
 
Back
Top Bottom