DAR: Wawili walazwa Muhimbili kwa kujeruhiwa na risasi baada ya kukaidi amri ya Polisi

Wamejitakia, tii sheria bila shuruti .. kwani wangesimama wangepungukiwa na nini? Kibatala yupo atawatetea
 
Mtu umekaidi kizuizi cha polisi halafu unashangaa kupigwa risasi eti hukusikilizwa, ungesikiliziwa wapi sasa! Na visababu kibao vya ajabu, eti tuliwaambia tuna dharura ila hatukupata jibu tukaondoka, ridiculous! Nyakati zingine hawa polisi tuwalaumu kwa haki. This is nonsense.
 
Ukisoma vizuri maelezo ya huyu jamaa unaona kuna dosconnect nyingi sana.
1. waliondoka bila kupewa jibu na askari alowasimamisha. Hii inaashiria nini? Ukaidi!
2. Mara tukastukia defender la polisi linatufukuzia. Ina maana hapa walijua defender la polisi linawafuatilia wao toka Mbezi hadi kizuizi cha Bwawani Kiluvya lakini hawakusimama. Kwanini hawakusimama wakati wanajua polisi wanawafuatilia wao?
3. Walishambuliwa wakiwa katika kizuizi cha barabarani, je hakukuwa na askari wengine hapo kwenye kizuizi?

Hawa jamaa wana lao jambo.....wanatakiwa kujua hizi sio zama za JK na za Magufuli Dola haishikwi masharubu.

Akizungumza kwa simu jana jioni said:
~ Mwananchi[/B]
 
Kazi nzuri mtu akikaidi kusimama Risasi ni zawadi yake..Maana huwezi kujua kuwa anania gani?
 
Yani walishambulia matairi ya gari hafu mtu akatoka na jeraha la risasi begani na kwenye Kisigino?
 
Sasa hivi ukisimamishwa na polisi hata ukiwa unatembea kwa mguu bora usimame tu wakuhoji wanachokitaka kisha uendelee na safari yako vinginevyo watakuua baadae kamanda atatunga maelezo basi itakuwa imetoka
Unaweza ukasimama na bado wakakupiga risasi kisha wakasema ulitishia usalama wao uliposimama...
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Ukisoma vizuri maelezo ya huyu jamaa unaona kuna dosconnect nyingi sana.
1. waliondoka bila kupewa jibu na askari alowasimamisha. Hii inaashiria nini? Ukaidi!
2. Mara tukastukia defender la polisi linatufukuzia. Ina maana hapa walijua defender la polisi linawafuatilia wao toka Mbezi hadi kizuizi cha Bwawani Kiluvya lakini hawakusimama. Kwanini hawakusimama wakati wanajua polisi wanawafuatilia wao?
3. Walishambuliwa wakiwa katika kizuizi cha barabarani, je hakukuwa na askari wengine hapo kwenye kizuizi?

Hawa jamaa wana lao jambo.....wanatakiwa kujua hizi sio zama za JK na za Magufuli Dola haishikwi masharubu.
JK was democratic, the other is a tyrant dictator. Wala humpi sifa nzuri hata kidogo! hakuna masharubu , it is dictatorship
 
Hii mie naipinga sana... Tatizo hata maaskari wanashida. Mmoja alisimishwa na mkewe yupo nyumbani na anaumwa.. He is rushing to pick her up ampeleke hospital.. Mkewe akifa kwa ucheleweshaji unaotokea njiani? Naruhusiwa kufungua kesi ya madai?! Against police?

Sheria ambazo ni double standard kama kwenye zebra... usimame.. Halafu hakuna standard practice Wakati huo huo.unaonywa kuwa makini kwenye intersection hasa nyakati za usiku kwa sababu za kiuhalifu..

Askari anaita gari kwenye intersection sayansi.pale all over sudden anasimamisha magari ghafla ... MTU unajikuta juu ya zebra.. Mwenzake anakuja kukuandikia.fine..pathetic.

In short hawa maaskari Wa barabarani wanapaswa kuendesha magari kwanza sio wanakuwa kama wendawazimu. Too bad hata deduction hawawezi.. Aliyewapa hivi vimashine ameharibu sana.. I swear.

Sasa umepiga tairi risasi. Una gari you can get there quick ... Unasilaha.. Kwanini usiaproach umkamate suspect?! Fire at them for an intent to kill?! For not obelserving pedestrian crossing??!

God Have Mercy.

Please ... Keep your hands on a steering wheel... Stop. Don't argue unless unawatu wengi wakushuhidia. Ukimuona mjuaji mwambie akuandikie fine uende... Maana its bad now.
Tatizo hata kama umekubali kuandikiwa hakuandikii anakuchelewesha tu. Kwa hiyo aliyekubali kosa na aiyekibali muda wao wa kuwekwa pale ni the same!
 
Wazee wa kubambikia kesi.

msipobadirika mtaendelea kuwa adui wa raia maisha yenu yote, wala rushwa namba moja.
Jamii ikibadilika pia hawatabambikiwa kesi, imagine ungekuwa wewe askari umesimamisha mtu/watu eneo lako la kazi wakakaidi amri halali kwa ujuaji wa kutunishia misuli vyombo vya dola, ungemfanyaje huyo mtu? Hasa ukikumbuka kiapo na msoto wa depo...lazima raia achezee kichapo bila uoga wowote!!! Corolla inaanza kushindana na landcruiser,
 
Wakimalizana na wanasiasa watakuja na kwenu pia, na hakuna atakayepona - Mh. Godbless Lema (MB)
Upuuzi huu waliofanya Mlay na kaka yake hauhusiani chochote na siasa.

Tena washukuru wameuona mwaka mpya nje ya jela au nje ya kaburi.

Walichofanya kingeweza sababisha maafa makubwa.
 
JK was democratic, the other is a tyrant dictator. Wala humpi sifa nzuri hata kidogo! hakuna masharubu , it is dictatorship
Very true, lakini democracy kwa afrika ni majanga watu wana missuse sana. Lets try dictatorship and see what is going to happen. Kiwango cha uelewa wa watu wetu hadi uwaache kujiamulia mambo yao wenyewe kwa busara bado sana. So far I like it ataburuze kwanza hadi akili zitakapokaa sawa ndo turudi kwenye democrasia ya kweli.

Mfano mdogo ni kwenye chaguzi zetu, wananchi wanachagua kwa kutumia matumbo.... Hili mkilliacha mtaishia kukabidhi nchi kwa mafisadi kwa kisingizio cha democrasia.
 
Hujatafakari sana unachokiandika. It seems you are living in a different world. You can not advocate dictatorship in this era! Two wrongs will never make a right! It may be unanufaika na uvunjwaji huu wa haki za binadamu ndiyo maana unasema hivyo. Tatizo mnakiri kuwa ni dictator ie, mburuzaji , likisemwa as a reference mnawaua watu kwa risasi! Contradiction of a highest degree! Unasema matumbo, Can you comment on Mnyeti? Can you comment on those defcting to CCM from Upinzania?
Busara gani ambayo watu hawana? Nyie mna busara ganimnayotumia mpaka sasa, iko wapi? Tafakari zaidi ya hapa ulipoandikia. There are still much more to make your story valid!
HUWEZI KUWAWEKA WATU ADABU KWA KUWAPIGA RISASI, KUWAFUNGA INDISCRIMINATELY TODAY!
YOU ARE WRONG KADA WETU
 
Mkuu nimetafakari sana kabla sijaandika hili. Sio kwamba hawa wanaohama upinzani ndio wanafuata Democrasia... ni upuuzi tu wakisumbuliwa na matumbo ninayoyanongelea na ndio maana nasema bado sana kwa level ya watu wa nchi zetu hizi changa watu kuendana na democrasia ya kweli. Hakuna zaidi ya sarakasi tu kama tunazoshuhudia zinazo trend kwa sasa watu wakihama upinzani kuunga mkono raisi.

Lakini bado naunga mkono udikteta kwa nchi kama hii ya Tanzania nikizingatia ushenzi uliokuwa unaendelea hapa nchini. It vema kuishi na dikteta nayelazimisha vitu vifanyike kuliko uhuni wa demokrasia watu wakiiba mali za nchi na kuifilisi.
 
Back
Top Bottom