Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Ungejua...yale nayoandika humu na mie mwenyewe in real life vitu. Viwili tofauti. I suffer from double personality disorder...magonjwa ya kidhungu hayo. Kwa kiswahili wanasema chizi kama sijakosea
Mkuu, nayapenda mno hayo magonjwa!
 
Barke pesa, Barke bank mara Johnsinner bouncer mara sijui white....haya majina yanaonyesha hawa wote ni binadamu wa hovyohovyo....Barke pesa ukiangalia picha zake makucha, vipini utagundua ni mtu wa mapichamapicha tu..
Pale kitambaa ukienda unakuta watu wa michongo tu vijana wamenyonga dreid wengine fulu mata tooo yan tafrani afu bia 24/7 wanakesha
 
Poleni na majukumuu wakuu hiii ni video ya mtuhumiwa wa mauaji ya Barke Rashid akihojiwa na polisi.
 
Kweli ameua lakini aina hii ya utesaji katika kupata ushahidi ndio inapata ukinzani pale linapofika kwa pilato. Manake atasema nilikiri baada ya kuteswa!!
 
Huyo binti alikuwa malaya sana yaani katongozwa kaingia king chapchap

Hao jamaa wauaji ni mashujaa.
 
Uliuliza ili upate angle ya kuponda?!!
najaribu kuchangia tu mawazo ili siku moja tujenge na tupange miji yetu ili ukiambiwa namba ya jengo, jina la barabara na mji, unafika.

Polisi, of all the official taasisi's, isiwe ya kuendekeza majina ya vijiweni ambayo hayapo mahala popote rasmi... Tabata Calabash Bar, Segerea ya Tabata, Tabata kwa Bi Kidawa, Tabata Segerea.... what the hell is Tabata Segerea?

kuonyesha mapungufu ya jamii yako sio kuponda, mawazo ya kiswahili hayo, tuelimike
 
Kuna shida gani sehemu kuitwa kwa Bi Kidawa? Ni sawa kuitwa St Paul's ila kwa bi kidawa ni uswahili? Kuna shida gani sehemu kuitwa Tabata Segerea au Calabash bar? Au makaburini? Kuna sehemu huko mnakoona kumestaarika zina majina hayo hayo ya bar na makaburi ila kwa sababu ni kiingereza ndio mnaona kuelimika!
 
Back
Top Bottom