Dar: Watu watano wamepoteza Maisha kwenye ajali ya Fuso na Daladala Shekilango

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kuna ajali imetokea Shekilango, daladala ya Kariakoo imegongana na fuso, watu watano wakiwemo Wanafunzi wamepoteza maisha. Marehemu ya Majeruhi wamepelekwa Hospitali ya Palestina.

Ajali imetokea Maeneo ya Kamanyola barabara ya Sinza.
13876699_1055991974438235_5194337181234743273_n.jpg
13925116_1055992014438231_5912058193115291739_n.jpg
13876184_1055992137771552_2050032305524041924_n.jpg
 
Back
Top Bottom