jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 861
- 834
mfalme juhaa..
YOU ARE A USELESS FOOL. JITAHIDI KUTUMIA AKILI NA SIO KURUSHA MATUSI HUMU MITANDAONI. ITAKUSAIDIA NINI KUTUKANA WATU?Mpum
avu mamaako! Serikali imekosa chs kufanys inakimbizana na viteenagers kwenye whatsapp groups. What is this? Sheer nonsense. Ushamba mtupu! Kwanza hiyo kejeli ina impact gani kwake? Inamzuia vipi kujenga Tanzsnia ya viwanda. Mmebaki kudeal na trivial things wakati nchi ina mambo ya msingi ya kufanya. Mnapoteza muda na resources za mahaksma kwa vijikesi vya ajabu ajabu! Nonsense!
KWA HIYO HIZO PICHA NA MAJUKUMU YA MTU WAPI NA WAPI? TUACHE KUTETEA UPUMBAVU. NAOMBA MUNGU WAPATE FUNDISHO ILI NA WENGINE WASIJARIBU UJINGA KAMA HUOHapana
Huyo unayemtetea.amesahau majukumu yake
sasa serikali itajengaje viwanda? inawaandalia mazingira hao wasomi ili wawekeze kwenye viwanda, wao wanapoteza muda kwenye whatsapp kuzungusha picha za kijinga. serikali inatengeneza mazingira ya uwekezaji, dunia nzima kwa sasa hiyo ndo kazi ya serikali bobKaahirisha kujenga viwanda anahangaika na watu kwenye wasapu
Ndo nani huyo sina milioni saba mimimfalme juhaa..
Sasa alipokua anatoa ahadi kwenye kampeni kwamba Serikali yake itakuwa ya viwanda alikuwa ana maana gani? Alikuwa anajuwa watu wana hela za kujenga viwanda?sasa serikali itajengaje viwanda? inawaandalia mazingira hao wasomi ili wawekeze kwenye viwanda, wao wanapoteza muda kwenye whatsapp kuzungusha picha za kijinga. serikali inatengeneza mazingira ya uwekezaji, dunia nzima kwa sasa hiyo ndo kazi ya serikali bob
kama nilimwelewa vizuri alimaanisha kuwa serikali itajitahidi kuvutia uwekezaji katika viwanda na kutoa upendeleo wa ziada kwa watakaotaka kuwekeza katika sector hiyo. nadhani katika hilo serikali inajitahidi sana.Sasa alipokua anatoa ahadi kwenye kampeni kwamba Serikali yake itakuwa ya viwanda alikuwa ana maana gani? Alikuwa anajuwa watu wana hela za kujenga viwanda?
Baba mwenye nyumba hakupewa ridhaa ya kumiliki nyumba yake na wananchi kwa maana hiyo hawezi kukosolewa ILA huyu amepewa ridhaa na wananchi kwaiyo lazima asemwe tu..Baba mwenye nyumba huwa hakosolewi ila hupewa ushauri tu ..au wewe umewahi kumkosoa baba ako?
Wanafunzi kortini kwa kumkashifu Rais Magufuli
Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Kampala(KIU) kampasi ya Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu shitaka la kusambaza picha za kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa kijamii wa WhatsApp.
Washitakiwa hao ni Amenitha Kongo(19), Maria Tweve (20), Agnes Gabriel(21) na Anne Mwansasu(21), ambapo wamepandishwa mahakamani hapo leo na kusomewa shtaka linalomkabili mbele ya Hakimu Mkazi Catherine Kiyoja.
Kwa pamoja washtakiwa hao wanadaiwa kuchapisha picha ambazo zinaonyesha Rais Magufuli akiwa amevaa hijabu kama mwanamke wa Kiislamu na kuzisambaza kwenye mtandao huo wa WhatsApp, huku wakijua kufanya hivyo ni kinyume cha sheria.
Washtakiwa wamerudishwa rumande baada ya kushindwa kitimiza masharti ya dhamana.
Chanzo: Mwananchi
na watapigwa tu, nami nasema wapigwe tuWatoto wasio Na adabu toka kwao !
Una akili sana wewe, hongeraAcha kulinganisha baba na urais, ili uwe baba kuna tendo unafanya na mwenzako wa jinsia tofauti na ili uwe rais kuna utaratibu unapitia kwa mujibu wa sheria, kwa hiyo baba na urais ni vitu viwili tofauti havipaswi kulinganishwa. Baba ataheshimiwa kwa mujibu wa mila zetu na desturi na rais ataheshimiwa kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
mpongeze sana. akipelekwa kisutu nadhani nawe utakuwepo....Una akili sana wewe, hongera
Hahaha! Mkuu, tena niko tayari kwenda kutoa ushahidi, kwani kakosea nini kwenye jibu lake? Nafikiri hata wewe kuna hekima umejifunza kutokana na jibu lakempongeze sana. akipelekwa kisutu nadhani nawe utakuwepo....
Soma huu uzi wa ndugu yetu MWAKITWINO pengine utaelewa mantiki badala ya kuja na mapovu.Baba mwenye nyumba hakupewa ridhaa ya kumiliki nyumba yake na wananchi kwa maana hiyo hawezi kukosolewa ILA huyu amepewa ridhaa na wananchi kwaiyo lazima asemwe tu..
Usifananishe baba mwenye nyumba na vitu vya kipuuzi
Kweli hi ni creature sijui ni ya wapiMagufuli komaa baba. Hapo uliposhika usipaachie. Walitaka utawala wa kidikteta. Umekaza kidogo wanalialia
Hao ndio wasomi wa mwendokasi. Mkubwa ana miaka 21 mdogo 19, badala ya kuweka akili kwenye masomo wanasambaza picha za kipuuzi.sasa serikali itajengaje viwanda? inawaandalia mazingira hao wasomi ili wawekeze kwenye viwanda, wao wanapoteza muda kwenye whatsapp kuzungusha picha za kijinga. serikali inatengeneza mazingira ya uwekezaji, dunia nzima kwa sasa hiyo ndo kazi ya serikali bob