Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

View attachment 1632949

Volkano za matope ni miundo ya uso iliyoundwa na mlipuko wa matope kutoka kwa uso mdogo. mifano ya kawaida. mlipuko wa kawaida ni mchanga mzuri wa mchanga, maji, na gesi, CO2 na methane. Vipande vya mwamba wa nchi pia wakati mwingine huingia ndani. Zinatoka saizi kutoka <1 m, kawaida ya volkano za matope zilizoundwa na kuyeyuka kwa kina kirefu, hadi kwenye majengo ambayo ni ya urefu wa mita mia chache au hupanuka baadaye kwa zaidi ya kilomita 1. Milipuko mikubwa huleta matope kwa uso kutoka kwa kina kinachozidi zaidi ya kilomita 1 .Katika sura hii tunazingatia milipuko mikubwa; Milipuko midogo inayotokana na uso mdogo kabisa ni dhihirisho la kimiminika cha 'jadi'.
Mkuu hiki ulichoandika ni nini!?
Au ni google translator!?
 
Kweli Tanzania nchi ya ki-communist, yaani Viwanja vyote ni mali ya Serikali ? Serikali inaamua tu kutoa viwanja kama sadaka na siyo kununua ? Bila ya kubadilisha huu mfumo (kwa uangalifu mkubwa lakini) kuendelea ni ngumu sana, binafsi siwezi kuwekeza mabilioni kama ninayo kama siwezi kumiliki chochote, hilo eneo sio mali yangu ndiyo maana yake, nchi za ki-capitalist unamiliki ardhi mpaka hata chote kilicho chini ya ardhi yako, kama madini au mafuta ni yako maadamu kiwanja ni chako.

Long Live Capitalism !
Umebadilika sana siku hizi, au umekosa udiwani ndugu? 😀
 
We nawe, ndio wale wale, jangwani ni mahali pakame hakuna mvua, nimejenga kwenye mkondo wa maji, ni njia ya maji ya iliyopo chini ya ardhi. Hizi njia ni kama mito, sometimes mito huwa inahama, na kuibukia pengine sometimes inapotea njia na kusambaa.

Watu wa uzwazi kwenye vyoo vya shimo, wanayajua sana haya mambo ya water table, ikipanda, vyoo vinafurika na kutapishwa!.
hilo tope ni kama mashimo ya choo yanatapika due to underground water table kupanda.
P
Kwahiyo Jangwani Magomeni Dar ni mahali pakame?
 
Kweli Tanzania nchi ya ki-communist, yaani Viwanja vyote ni mali ya Serikali ? Serikali inaamua tu kutoa viwanja kama sadaka na siyo kununua ? Bila ya kubadilisha huu mfumo (kwa uangalifu mkubwa lakini) kuendelea ni ngumu sana, binafsi siwezi kuwekeza mabilioni kama ninayo kama siwezi kumiliki chochote, hilo eneo sio mali yangu ndiyo maana yake, nchi za ki-capitalist unamiliki ardhi mpaka hata chote kilicho chini ya ardhi yako, kama madini au mafuta ni yako maadamu kiwanja ni chako.

Long Live Capitalism !
Hata Uingereza ardhi ni mali ya serikali.
 
Serikali isizembee kuhusu tope linalotoka ardhini, mpaka sasa wstaalam wa jiolojia wanaonekana kutokuwa na uwezo lakini wanasita kusema! Jinai siku zinavyokwenda ndivyo mashimo yanayotoa tope yanaongezeka, inawezekana kutokuwepo mpango wowote wa kupata wataalamu wenye vifaa unatokana na kitokuwepo waziri husika.

Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wanatakiwa wachukue hatua za haraka kupata wataalam toka nje kwani hili si bomba lililopasuka hii ni hali ya hatari tunaposhuhudia nyumba nzima kutitia.
 
Back
Top Bottom