Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

Huu ni utapeli, yaani mtu aachenkiwanja cha mabilioni kunduchi kisa ya tope? Hilo tope ni la muda tu, litaacha, kama kuhama wahame kwa muda tu, lakini kamwe wasikubali kubadilishana viwanja vyao kwa viwanja vingine huko maporini
- Udongo unapokua oversatulated na maji friction hupungua na udongo huanza kutembea down slope.

- As long as mvua zitaendelea kunyesha udongo utaendelea kutembea katika eneo hilo. Na ni hatari kuendelea kukaa hapo.

- Kumbuka kwamba kila mwaka mvua inanyesha. Unaweza kubaki salama mwaka huu ila mvua za mwakani zikaleta maafa.

JamiiForums mobile app
 
Kwa akili duni ya mtu mweusi,hapo wataanza kufanya matambiko na kutozingatia ushauri wa kitaalamu.
Sio hivyo tu, wataomba wape we viwanja na baadae hawahami bali watabaki hapo hapo na vile viwanja walivyopewa wataviuza!
 
- Udongo unapokua oversatulated na maji friction hupungua na udongo huanza kutembea down slope.

- As long as mvua zitaendelea kunyesha udongo utaendelea kutembea katika eneo hilo. Na ni hatari kuendelea kukaa hapo.

- Kumbuka kwamba kila mwaka mvua inanyesha. Unaweza kubaki salama mwaka huu ila mvua za mwakani zikaleta maafa.

JamiiForums mobile app
Sawa, ila hata wakipewa viwanja vingine, hivyo vya hapo wasikubali kuviexchange kwa hivyo vingine, viendelee kuwa mali yao hadi pale watakapoamua kuviiza wenyewe. Jangwani pale watu walipewa viwanja mabwepande, ghafla tukaona kinakengwa kituo cha mwendokasi, na kama wangekiiunua juu kidogo tu kingekuwa kipo vizuri hadi leo. Hilo eneo hapo si hatari kama pakijengwa kitaalam, utakuja kutokea mradi wa kituo cha mabasi ya mikoani hapo utashangaa, serikali inaakili sana! Hapo watachimba mita 10 kwenda chini na kutoa tope lote, kisha wanajenga kituo kwa mfumo wa ghorofa inayoanzia underground na mabasi yanakuwa yanapaki chini kwa chini (underground). Najua hilo linawezekana, nina uzoefu na hayo!!
 
- Kama eneo lina hatari kubwa sidhani kama ni busara kuendelea kumilikiwa na watu, maana sisi wabongo huwa wagumu kuelewa hasa katika mambo ambayo hayajatokea utashangaa baada ya muda watu wamerudi kuishi richa ya hatari.

- Kama thamani ya eneo walilopewa na eneo wanaloliacha inatofautiana kwanini hesabu zisifanyike ili walipwe kwa haki.

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom