DAR: Wafanyakazi wa Kampuni mbili za Ujenzi watiwa nguvuni

. Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam kwa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ambae ameagiza kukamatwa kwa wakandarasi hao kwa kosa la Kushindwa kutekeleza miradi ya Ujenzi watakuwa wakitokea serro kwenda site map wapate kausumbufu Kama sisi wanyonge
 
Hii siyo sawa

Mkuu kwanza unatakiwa ujue kwamba Hao ni wakandarasi ambao wana mkataba halali na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Sio vibaka wala wavamizi.Unapowazoa kama vibaka wazururaji ujue kabisa kwamba unaonesha kabisa kwamba kuna kitu kinafichwa.Kama wamekiuka Mkataba kuna taratibu za kisheria na za kimkataba ambazo naamini kabisa wangezifanya.Ila wanachokifanya hapo ni kuwanyanyasa tena bila basis yoyte ile kwa sababu unwaweka watu kizuizini kwa masaa 24 ili uwatishe wakati una mkataba nao?Kama kuna mkataba na una vipengele sahihi sioni sababu ya kuzoana kama vibaka.Kuna jambo linafichwa na jambo lenyewe ni UZEMBE na RUSHWA kwa watumishi wa JIJI LA DAR katika usimamizi wa KANDRASI
umemaliza mkuu, mkataba wowote una T&C hapo lazima uwabane wakandarasi. Suala la kusema daraja limeleta maafa au halijafanya kazi iliyokusudiwa hapo kuna Eng ambaye ndio ana design kitu anaweza kuwa wa serikali akimaliza mchoro ndio scope ya kazi inaenda kushindaniwa na wakandarasi kazi yao ni construction kwa mujibu wa michoro na wakati kazi inafanyika kunakuwa na Eng anayehakikisha kazi inaenda kwa mujibu wa drawings. Wewe unajenga nyumba ya gorofa, Architect ana design na kusimamia, Unawapa contractors akujengee kwa mujibu wa michoro. Eng wako anasimamia hatua zote kuhakikisha nyumba inajengwa kama ilivyopitishwa constr wamefika gorofa ya 4 nyumba imeanguka utamshika nani?? ni Architect anawajibika na waliopitisha mchoro hasa ikiwa wajenzi wamejenga kama mchoro ikitokea labda material imetumika sio ile au pungufu hapo wanawajibika ila kazi ya Eng ni kuwa site kuhakikisha materials kiwango. Daraja limeleta maafa shika walio design na kupitisha sio fundi maana mradi unapokelewa ukiwa umekidhi au unakataliwa kupokelewa ikiwa sio kama mchoro. mchoro gorofa 4 unapewa gorofa 3 utakataa. tatizo kubwa kuliko siasa za magazeti..
 
Kwa taarifa yenu ukiachilia mbali hili la kampuni kupewa malipo ya awali na isitekeleze kazi kwa kiwango au kwa wakati ni kwamba kandarasi zinazotolewa kwenye hizo halmashauri za Dar es Salaam asilimia kubwa uwa zina mikono ya wanasiasa. Yaani kupata hiyo tenda lazima kampuni ya ukandarasi iwe imebebwa na mwanasiasa fulani. Na kwa sababu ya mgongano wa kimaslahi mwanasiasa ambaye kampuni aliyokuwa akiisimamia inapokosa kazi mapema tu uanza figisu figisu dhidi ya kampuni iliyopewa kazi.
He, haya Nyanza?
 
Kwa Kosa gani?Mbona ninachokiona hapo ni wanansiasa kuwatoa kafara wakandarasi.Nachokiona hapo ni kukosa heshima na utu kwa wakandarasi.Ninachokiona hapo ni ulimbukeni na ushamba ambao unanishangaza sana.Katika mkataba wa kazi walikubalianaje?Kwa sababu msingi wowote wa kutenda haki ni lazima uzingatie mkataba,utu,na sheria za nchi.Hizi mbwembwe hizi ni kwa ajili ya kuwazuga wananchi tu.
Ukiachana na chuki binafsi,kukosa uchungu kwa kodi yako na kukosa uzalendo, wewe utakua unatoka upinzani
 
Mkuu kwanza unatakiwa ujue kwamba Hao ni wakandarasi ambao wana mkataba halali na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Sio vibaka wala wavamizi.Unapowazoa kama vibaka wazururaji ujue kabisa kwamba unaonesha kabisa kwamba kuna kitu kinafichwa.Kama wamekiuka Mkataba kuna taratibu za kisheria na za kimkataba ambazo naamini kabisa wangezifanya.Ila wanachokifanya hapo ni kuwanyanyasa tena bila basis yoyte ile kwa sababu unwaweka watu kizuizini kwa masaa 24 ili uwatishe wakati una mkataba nao?Kama kuna mkataba na una vipengele sahihi sioni sababu ya kuzoana kama vibaka.Kuna jambo linafichwa na jambo lenyewe ni UZEMBE na RUSHWA kwa watumishi wa JIJI LA DAR katika usimamizi wa KANDRASI
Mimi natokea Kitunda mkuu, huwezi amini hii barabara ni kama mwaka wa 2 sasa toka tuanze kusikia kuna wakandarasi wameshapewa tenda lkn cha ajabu hatuoni chochote kinachoendelea

Hii barabara ni kero kubwa sana kiongozi, Kwanza ni ya vumbi, Pili ina mashimo vbaya sana ukipanda Bajaji tu mpaka ufike kwako Mgongo wote unauma kwa kurushwa rushwa kwenye mashimo.

Tatu ni kwamba haina madaraja ya kuaminika hii barabara hivyo kipindi cha mvua kama hivi ni janga usafiri unakwama hadi kulazimika watu kuvuka kwa miguu

Hawa wakandarasi Wanastahili kabisa kuwekwa ndani maana naona kabisa hawana nia njema na wananchi

Daraja la hapa Kitunda tu wamemaliza miaka 2 na bado hawajakamilisha, yaani kuweka level tu Daraja lianze kutumika wameshindwa hiiii hiiiiii .... sasa hawa wasipowekwa Ndani watajifunza Lini??

Wakandarasi Wazawa ni Jipu sana bora mara 10 Tenda hizi wapewe wakandarasi wa nje tu mana wako serous na Kazi.
 
Ukiachana na chuki binafsi,kukosa uchungu kwa kodi yako na kukosa uzalendo, wewe utakua unatoka upinzani
Mkuu kwa hoja yako,ukiachana na ujinga binafsi,kukosa uchungu na nchi yako wewe utakuwa unaelekea Upinzani.Msingi wa hoja yangu ni matumizi ya unnecessary force katika kuwakamata hao wakandarasi kama vile wao ni vibaka wahuni.Nilitarajia kwanza wangeshaitwa na huyo aloamuru wakamatwe ili watoe Maelezo na iwapo ikithibitika kuna uzembe kwa upande wao basiwawachukulia hatua stahiki kwa mujibu wa sheria na kwa mujibu wa mkataba.Hao wakandarasi wa Nyanza na Chico huwa wanakula na hao hao viongozi wetu ila sasa kwa sababu watu hawataki kuwajibishwa ndo wanaleta maigizo ya mchana.AMKA ndugu yangu wape kura yako ila usiwape wajibu wako wa kufikiri,kuhoji na kukosoa.TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA
 
Mimi natokea Kitunda mkuu, huwezi amini hii barabara ni kama mwaka wa 2 sasa toka tuanze kusikia kuna wakandarasi wameshapewa tenda lkn cha ajabu hatuoni chochote kinachoendelea

Hii barabara ni kero kubwa sana kiongozi, Kwanza ni ya vumbi, Pili ina mashimo vbaya sana ukipanda Bajaji tu mpaka ufike kwako Mgongo wote unauma kwa kurushwa rushwa kwenye mashimo.

Tatu ni kwamba haina madaraja ya kuaminika hii barabara hivyo kipindi cha mvua kama hivi ni janga usafiri unakwama hadi kulazimika watu kuvuka kwa miguu

Hawa wakandarasi Wanastahili kabisa kuwekwa ndani maana naona kabisa hawana nia njema na wananchi

Daraja la hapa Kitunda tu wamemaliza miaka 2 na bado hawajakamilisha, yaani kuweka level tu Daraja lianze kutumika wameshindwa hiiii hiiiiii .... sasa hawa wasipowekwa Ndani watajifunza Lini??

Wakandarasi Wazawa ni Jipu sana bora mara 10 Tenda hizi wapewe wakandarasi wa nje tu mana wako serous na Kazi.
Mkuu hizo kampuni uwezo wake ni wa kibabaishaji hilo viongozi wanalijua na kazi ya hizi kampuni ni kuwawezesha viongozi kula kodi zetu bila kuwajibika kisha baada ya kuzila wanawakamata kwa fujo kama walivyofanya kisha wanavunja mkataba,maisha yanaendelea.HELA INALIWA mnabaki na mashimo yenu,Maisha yanaendelea FILAMU INAISHA
 
Makonda endelea kumuharibia Rais JPM na katika hili naomba niseme Mh Rais utaendelea kupata upinzani mkali....
Advance payment mmewalipa lini?
Muogopeni Mungu
 
Kama hawajalipwa diwabebe sululu na beleshi waondoke
 
Makonda endelea kumuharibia Rais JPM na katika hili naomba niseme Mh Rais utaendelea kupata upinzani mkali....
Advance payment mmewalipa lini?
Muogopeni Mungu
Yaani eti akose kura kisa mchina kawekwa ndani kwa uzembe, utakuwa mtu mpumbavu sana
 
Mkuu hizo kampuni uwezo wake ni wa kibabaishaji hilo viongozi wanalijua na kazi ya hizi kampuni ni kuwawezesha viongozi kula kodi zetu bila kuwajibika kisha baada ya kuzila wanawakamata kwa fujo kama walivyofanya kisha wanavunja mkataba,maisha yanaendelea.HELA INALIWA mnabaki na mashimo yenu,Maisha yanaendelea FILAMU INAISHA
Uwezo wanao Sana Ni uhuni tu
 
Hii kitu imenisikitisha sana
Mhemko wa Siasa vs professionalism
Term hii engineers wana tabu sana
Kama hamjaridhishwa na uendaji wa kazi just refer katika mkataba uone unasemaje
Yani ni kuwekana ndani nimekumbuka manamba babu zetu wakiwa wanafanya kazi kwa wakoloni. Hii haina tofauti na manamba kazingua then achapwe mijeledi. Hii ni kukosa utu.
“Machoni kama watu moyoni hawana utu, imani imetoweka....” in jaydee voice.
 
Tusipoweka pembeni uungwana hatutasonga mbele, wacha tu tuswekane ndani
 
Mkuu kwa hoja yako,ukiachana na ujinga binafsi,kukosa uchungu na nchi yako wewe utakuwa unaelekea Upinzani.Msingi wa hoja yangu ni matumizi ya unnecessary force katika kuwakamata hao wakandarasi kama vile wao ni vibaka wahuni.Nilitarajia kwanza wangeshaitwa na huyo aloamuru wakamatwe ili watoe Maelezo na iwapo ikithibitika kuna uzembe kwa upande wao basiwawachukulia hatua stahiki kwa mujibu wa sheria na kwa mujibu wa mkataba.Hao wakandarasi wa Nyanza na Chico huwa wanakula na hao hao viongozi wetu ila sasa kwa sababu watu hawataki kuwajibishwa ndo wanaleta maigizo ya mchana.AMKA ndugu yangu wape kura yako ila usiwape wajibu wako wa kufikiri,kuhoji na kukosoa.TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA
Sawa mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom