Dar: Wabunge wa CHADEMA na Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, wawasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Hao ndo wachafuzi wa Amani ya Nchi hii kwa urafi wao wa kutaka kuchukua nchi.Kilimanjaro na Arusha ni watu hatari kuwakabidhi nchi hao
Wakolomije ndio wanahatarisha amani ya nchi. Mbowe yupo miaka mingi kwenye siasa na hajawahi kuchafua hiyo "amani", ila hao wakolomije wana miaka miwili na nusu tu tayari wameruka kila aina ya sarakasi na wanaichezea hiyo "amani" bila kujali, wao kipaombele chao ni "kusifiwa"
 
Tangu waonje Gereza la Segerea Siku hizi wameacha Mbwembwe za kusindikizwa Na Vibaka wapora simu Mahakamani

Chadema wafanye Mabadiliko wamrudishe Madarakani Mbowe Yule aliethibutu Kimtishia Rais wa zamani wa Tanzania kuwa anaweza kumfurusha Ikulu Kwa Maandamano , Yule Mbowe alimpiga Mitama Mkurugenzi wa Hamshauri ya Hai 2010 kwenye Uchaguzi Na bado hakugushwa!
 
Hao ndo wachafuzi wa Amani ya Nchi hii kwa urafi wao wa kutaka kuchukua nchi.Kilimanjaro na Arusha ni watu hatari kuwakabidhi nchi hao
Mimi sitokei kanda hiyo, lakin sio vixur kumchumbua mtu au kikundi kwa ukanda wake
 
Hao ndo wachafuzi wa Amani ya Nchi hii kwa urafi wao wa kutaka kuchukua nchi.Kilimanjaro na Arusha ni watu hatari kuwakabidhi nchi hao
Mashamba ya mkonge yanakuhusu bahati mbaya Mwal. Nyerere aliwapeleka shule. Angalia tofauti ya vijiji vya hiyo mikoa na vya asili yako
 
Hao ndo wachafuzi wa Amani ya Nchi hii kwa urafi wao wa kutaka kuchukua nchi.Kilimanjaro na Arusha ni watu hatari kuwakabidhi nchi hao
Kilimanjaro na arusha n mingoni mwa mikoa ambayo watu wake wanaishi maisha bora kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha
sasa we kiroboto wa Dodoma mkoa wako umejaa ombaomba kutwa nzma kuomba wakati nguvi mnazo chiz we utatokwa povu sana na kilimanjaro
 
Wachàga mtasubiri sana kwenye hii nchi mna ukabila ambao mnashindwa kuuficha tunao hata huku makazini tunawachora tu.
c wamepiga kitabu na hela wanazijua?
unadhan n ombaomba kama kwenu? fika mkoa wa Kilimanjaro uone mijumba ilivyoporonishwa migomban huko miundombnu safi hawajuu shida,,utatumia miaka 100 kuwakuta kimaendeleo na bado
 
hii kesi haina kichwa wala miguu. huwezi kuwabambikizia kesi wenzako kisa tu wanakupinga. ningelikuwa hakimu hii kesi ningeifuta fasta.
 
Nashawishika kusema kwamba siioni hii kesi ya Mbowe ikiendeshwa kwa uwazi mahakamani; labda iendeshwe 'in camera'.
 
Back
Top Bottom