Dar Vs Arusha

Mamzalendo

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,670
558
Kama ungetakiwa kuchagua leo ungeishi wapi kati ya hizi sehemu mbili,na je ni kweli maisha arusha ni ghali kuliko dar,whats the future of arusha vs future of dar?
 
Arusha ni pazuri kwa hali ya hewa tu ila kwa vingine dar mambo yote

ahsante,kwa vingine vp?kwa mfano mimi ni kijana nimemaliza tu shule utanshauri nianze maisha wapi?na je hali ya hewa 2 ndio inafanya wazungu wapende arusha kuliko dar?whats so special in each one?
 
ahsante,kwa vingine vp?kwa mfano mimi ni kijana nimemaliza tu shule utanshauri nianze maisha wapi?na je hali ya hewa 2 ndio inafanya wazungu wapende arusha kuliko dar?whats so special in each one?
hebu nenda ukaanze maisha TANDAHIMBA huko unag'ang'ania mijini tu maisha ya leo haya utajikuta mshahra unaishia kwenye daladala hasa dar
 
Niulize wakati wowote ule ntachagua A-town!!
Dar pazuri kukaa kwa muda mfupi ila sio kuishi (kwa maoni yangu kwasababu napenda utulivu) ila nadhani ni parahisi zaidi kuanza maisha maana kule anything goes....ila pazuri zaidi ni kijijini!!Nenda kalime bana maindi na maharage yaongezeke sokoni!
 
hebu nenda ukaanze maisha TANDAHIMBA huko unag'ang'ania mijini tu maisha ya leo haya utajikuta mshahra unaishia kwenye daladala hasa dar

jamani sio kung'ang'ania mjini kila m2 ana ndoto yake katika maisha,mi yangu ipo arusha zaidi lakini wa2 wananiambia maisha ni ghali sana nikiishi dar ntaendelea haraka,lakini mimi nina wazo tofauti kwamba ni rahisi kuendelea na kuwa na vimiradi na maisha ya utulivu arusha kuliko dar,embu nisaidieni jamani?
 
Niulize wakati wowote ule ntachagua A-town!!
Dar pazuri kukaa kwa muda mfupi ila sio kuishi (kwa maoni yangu kwasababu napenda utulivu) ila nadhani ni parahisi zaidi kuanza maisha maana kule anything goes....ila pazuri zaidi ni kijijini!!Nenda kalime bana maindi na maharage yaongezeke sokoni!

ahsante ndugu ila siku hizi walioendelea wanachokula wanataka walime wenyewe chemicals tunazokula ni nyingi,kuwa mwangalifu na vya sokoni,nakubaliana na wewe embu niambie kwa nini kuanza rahisi ni dar?kp kipo dar arusha hakipo,
 
Mmazalendo! Mi ningeishi A town ijapo maisha ya Arusha ni ya juu kuliko Dar lakini hali ya hewa itanifanya niipende bure tu.
 
hv arusha maisha ni ghali kwa nn? Mm naishi arusha na sijaona hilo nasikia mnasema sema tu hapa. Dar napaogopa sana, mpaka maji ya kunywa lazima ununue huku ar ukinunua umependa tu.
 
arachugga is everything banah,,,,, dar life is more expemsiv than arusha, i assure u that, coz nimewahi kuishi dar, na sasa naishi arusha,,, dar, kodi ya chumba sehemu kama sinza lets say, inarange kwenye 60 mpaka 80, na hapo ni chumba tu, wakati arusha, njiro unaweza kupata nyumba yenye choo, bafu, 1 bedroom, sitting room na kitchen kwa 80 mpaka kilo.. See the difference??, haya, tuje kwenye vitu kama foleni za barabarani, kama unatumia gari yako binafsi, kwa 4len za dar, unahitaji kama mafuta mengi zaidi kwa mizunguko ya kawaida tu kulinganisha na mtu aliyeko arusha, wen it comes to the hali ya hewa again, arusha is better,... Japo kuna vitu vingne ambavyo huku atwn ni bei gali kidogo kwakua vinatoka bandarini - dar, but still it doesnt make that biig difference kiasi icho,, soo, kwangu mimi, arusha is much better than dar
 
chuga town the place to be hata mambo ya kiswahili sio kivile! Ila Dar watoto wa kike hawana complication kirahis tu unajibebea wako
 
Mara mia ungesema MWANZA Vs ARUSHA
Sure!

Au
Arusha Vs Moshi
Mbeya Vs Arusha
Moro Vs Tanga

Dar haina wa kulinganisha naye.......... Ni full maujanja na matatizo........ Anayeuza cheni anapewa hela bandia wakati naye kauza cheni bandia.
 
Hivi kweli unaweza kulinganisha Arusha na Dar?

Kwanza mnalinganisha kwa nini?
 
Mmazalendo! Mi ningeishi A town ijapo maisha ya Arusha ni ya juu kuliko Dar lakini hali ya hewa itanifanya niipende bure tu.

Hivi unajua gharama za maisha ya Dar au unaletwa Uchadema!

Labda unaiongelea Dar ya Kimara Temboni na Bonywaka.

Unajua bei ya kupanga Ofisi, au Nyumba za kuishi dar?
 
Hivi kweli unaweza kulinganisha Arusha na Dar?

Kwanza mnalinganisha kwa nini?
Kama vile kulinganisha:

maji ya bahari na maji baridi
Bata na Kuku
Nyoka na Mjusi
Simba na Abajalo
Yanga na Barcelona
 
Back
Top Bottom