Dar to start Petroleum Exploitation in 2012

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,346
Tutapona kweli na kama tukipona kuna kitu kina yakhe tutaambulia au tutaishia tuu kama tulivyofanyiziwa kwenye dhahabu?

Dar to Start Petroleum Exploitation in 2012

East African Business Week (Kampala)

25 February 2008

By Daniel Said
Dar es Salaam

A confirmation of the data now being acquired in off-shore Tanzania has shown that it is possible that commercial production of petroleum oil and gas could be achieved as early as 2012.

According to Dr. Philip Nelson, the Director E&P, Petrodel Resources Limited (PRL) with licences in Latham and Kimbiji there have been signs of "flat spots' and "bright spots" which are widespread in the seismic data from Nigeria's Niger Delta, where they are fundamental to the discovery, development, and production of oil and gas.

Petrodel Resources Limited has started its 2D seismic survey in the coastal waters of Tanzania.

Data gathering began on February 17, 2008 as the specialist survey ship Geo Mariner sailed from Dar es Salaam towards the southern zone of PRL's Latham License.

Nelson says more than 900 kilometres new 2D reflection seismic data will be acquired in this survey, the first to be conducted in this area for over 20 years.

He said as the survey progresses, the ship will traverse northwards towards PRL's contiguous Kimbiji License in which approximately one third of the new data will be acquired.

The Latham and Kimbiji Licenses form part of a single Production Sharing Agreement (PSA) between PRL, as contractor, the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) as licensee, and the government of Tanzania through the Ministry of Energy and Minerals.

The current design, Nelson says, is based on a thorough analysis of legacy data from as long as 1970.

Much of the previous 2D seismic had, as far as is known, never been processed through to "migration," an essential last step in the seismic processing sequence that focuses the data.

"PRL have reprocessed much of the legacy data through to "migration", in many instances by transforming paper sections to digital data prior to affecting this important last step in the computer," he says.

He said the encouraging results have confirmed the initial interpretation of the data, which suggested the presence of convincing signs on seismic of the presence of accumulated hydrocarbons.

PRL expects to begin a similar survey in the offshore sector of its Tanga PSA, also in its second year of the Initial Exploration Period.

Different objectives from those in Latham tend to suggest the more likely presence of oil in that area.

Apart from Tanzania, PRL is actively engaged in acquiring petroleum exploration licenses elsewhere in East Africa, as well as pursuing opportunities in West Africa and elsewhere to acquire additional exploration or development businesses.

Such oil discoveries in Tanzania and East Africa as a whole could significantly alter the region's economic fortunes.

Results of recent geological surveys suggest that East Africa may soon become one of the world's hottest oil exploration zones, with data analysed few years ago by Jebco Seismic, a UK-based geophysical contractor, showing major oil deposits off the coasts of Kenya, Tanzania, Mozambique and Madagascar.

In addition, the same rock formations now yielding large quantities of oil in Sudan are known to stretch into Kenya, Uganda and Tanzania.

Abundant domestic supplies would eliminate the need for oil imports, thus producing considerable savings for businesses as well as generating ample tax revenues for governments, besides ecological gains.

Some of the most encouraging sites in Kenya and Tanzania lie offshore - which would allow shipments to be made much more easily than from fields far upcountry, such as in western Uganda.

In addition, technological advances in recent years have prompted experts to take a second look at test results that appeared unpromising a decade or two ago.

The source of all these potential deposits is the East African Rift and adjoining formations.

While the interior sections of the rift zone consist mainly of volcanic rock, the system has been found to contain several sedimentary basins as well. It is from those onshore and offshore basins that oil would be extracted.

Despite lack of serious explorations in Tanzania, records show that oil presence had been noted on Pemba Island in the Indian Ocean as far back as 1977.
 
A confirmation of the data now being acquired in off-shore Tanzania has shown that it is possible that commercial production of petroleum oil and gas could be achieved as early as 2012.

According to Dr. .....................................

Read between the lines.
 
Mafuta sii msingi wa maendeloe Tz.. Gabon na Nigeria ni giants Africa na pia curse ktk kuzalisha mafuta!

We invest more in human resources developmemt...mafuta yawe secondary to human resources development!
 
Nigeria ni masikini kwasababu ya corruption and not human capital. Nigerians are so educated.
 
Mafuta sii msingi wa maendeloe Tz.. Gabon na Nigeria ni giants Africa na pia curse ktk kuzalisha mafuta!

We invest more in human resources developmemt...mafuta yawe secondary to human resources development!

Msingi wa maendeleo ni engine za kuendesha uchumi na mafuta ni mojawapo.

Bei ya mafuta itakapodondoka basi mafuta yataacha kuwa msingi wa maendeleo.

Kama tunayo shimba uza na baadaye diversify.
 
Msingi wa maendeleo ni engine za kuendesha uchumi na mafuta ni mojawapo.

Bei ya mafuta itakapodondoka basi mafuta yataacha kuwa msingi wa maendeleo.

Kama tunayo shimba uza na baadaye diversify.

tafuta data za bei ya mafuta in Nigeria and Iran( of course kwenye pump kwa kina "regular joe's")......kuna issue ya refinery capabalities, kama ni ndogo, then export/import zitakuwa almost equal and that is NOT a good thing...mwisho wa siku income and outcomes zinaji-cancel, tunaendelea kuchapa miguu bila +ve gains!!

sana sana hayo mafuta yakichimbika kwa wingi hapo, itakuwa ndio mwanzo wa kutoana ngeu. kwanza formula ya mgawanyo wa mapato kati ya bara na visiwani imefikia wapi??
 
i hope serikali itajiandaa vya kutosha kabla ya kufanya huo uchimbaji....japo kuwa pressure kutoka nchi zenye kuhitaji mafuta ni kubwa zaidi.

bila ya kujiandaa mafuta yanaweza kuwa chanzo cha vita miongoni mwa watu.
 
Jamani kupatikana kwa mafuta ni kitu kizuri, badala ya kuogopa na kuwa negative tupendekeze mikakati ya kuhakikisha mapato yanasaidia nchi yetu. Naomba ndugu zangu to focus kwenye hilo.
 
i hope serikali itajiandaa vya kutosha kabla ya kufanya huo uchimbaji....japo kuwa pressure kutoka nchi zenye kuhitaji mafuta ni kubwa zaidi.

bila ya kujiandaa mafuta yanaweza kuwa chanzo cha vita miongoni mwa watu.

silver bullet hapo na magic word ni infrastructures!! pipe lines, refinery facilities na mabarabara!! kinyume cha hapo hii kitu itakuwa ni recipe for disaster.

kama tutakuwa na refinery capabality kubwa around the time hayo mafuta yanaanza kuchimbwa itakuwa ni kitu kizuri sana, vinginevyo wasubiri tu mpaka wakati huo.
 
....i doubt kama tuna ujanja wa kujenga refinery,nilikuwa nasoma some reports kwenye webs kumbe hata states nao still importing some refined oil/gasoline kwa sababu hawana refinery za kutosha na reason hawajengi ni policy ngumu kuhusu environment,lakini pia wakasema building/operating/insurance cost ni very expensive,average medium refinery cost 2-3 bil $,naona tutarudi palepale tuu na tutaendelea kuagiza hayo mafuta kama kawa labda tuwe na viongozi smart lakini kwa akili ya hawa tulio nao sasa sitegemei chochote,sanasana wataongeza posho jeshini wakijua sasa is time kukamata nchi kisawasawa!
 
Mbona refinery tulikuwa nayo pale kigamboni "Tipper" na tumeiuwa kama kawaida yetu ya kujifisadi wenyewe!
 
U.S kwa economy yao na other factors ni kweli wana import refined oil!! kikwazo kingine kwao ni kama ulivyosema hapo juu, sometimes over zeal environmental laws and other costs.
kwetu sisi, tokana na kauchumi ketu, refineries tatu tu zinatosha kwa domestic use na ku-export ready to go oil to the great lakes countries!! lakini kama alivyosema jamaa hapo juu, TIPPER ilikuwa "euthinized" kwa makusudi!! Look, all in all, we need magnificient refinery capabilities, otherwise tutakuwa tutatwanga maji kwenye kinu.
tunahitaji kama tatu tu, Tanga, Dizim na Ntwara.......marafiki wa kweli tunao wanaweza kutusaidia!! lakini mambo ya ku-import mafuta wakati tunachimba nyumbani kama Nigeria(kwa economy yao) ni biashara kichaa!!
 
Nakumbuka kuna post ya mtu wakati waujio wa Bwana Kichaka alisema moja ya kitu alichojia ni kuwa Tanzania tumeshapata mafuta na nakumbuka akasema "tutakumbushana humu". Nimeamini maneno yake. Sasa tunajuwa ujio wa Kichaka ulikuwa na lengo lipi.
 
Mbona refinery tulikuwa nayo pale kigamboni "Tipper" na tumeiuwa kama kawaida yetu ya kujifisadi wenyewe!

...achana na Tipper ule mtambo wa gongo haikuwa refinery ile na story yake tunaijua ndio maana ilikuwa abandoned na mafioso ikafa,na data nilizo nazo ilikuwa haina faida yeyote maana ilikuwa inachangia less than 1% of oil/gasoline huku 99% tulikuwa tunaagiza.
 
lakini kaka kale "kamtambo kalikuwa ni learning experience" kwa wataalamu wetu!! isitoshe less than 1 perc is better then nothing(hapo ni ktk kila angles including ajira).

well, bottomline hapa tunahitaji refinery capability........mie nitalia na hilo moja tu!!.
 
Back
Top Bottom