figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Habari wakuu,
Taa za barabarani zimekuwa kitegauchumi cha Polisi. Kila siku watu wanatozwa faini kwamba amepita na taa nyekundu.
Ukweli ni kwamba hizi taa saa singine hazieleweki hasa taa za dar. Unaweza kuta taa haziwaki au inawaka kijani tu au nyekundu au zote zinawaka na kuzima kwa pamoja.
Askari wetu wanatumia mwanya huo kunyanyasa wenye Madreva wetu.
Sasa imefika wakati tutumie saa ya kwenye taa za barabani kuondoa utata.
Naamini tukiwekewa traffic light timer (saa za kwenye taa za barabarani) zitaondoa utata wa kuwahi taa ya kijani, njano au nyekundu.