Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,965
Hebu nikuone vizuri huko pm halafu round ya pili ikianza nipate ingine nilinganisheHahahahaaaa. Ndio Ntani.
Maisha ndo haya haya na Yanga ndo inanizidisha ubonge yaani mpaka first round inaisha nitakuwa mara mbili. 🤣🤣🤣