pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,847
- 2,738
Ile mechi inatakiwa ushinde basi inatosha sio ligi inahesabiwa magoli na pointsTatizo la Yanga wakishinda goli moja wanaridhika.
Jana gemu ilikuwa yao
Wangeweza kuifunga Simba hata Goli tatu.
Simba tuna Kesi ya msingi na Kocha Gomes na Swahiba wake Mugalu.
Iko siku kitawaka.