Dar SGR Station: what Happened?

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
441
536
Awali tulitaarifiwa kuwa kutakuwa na majengo mawili katika station hiyo lakini mpaka sasa limejengwa moja tu. Lililojengwa ni la station yenyewe na pacha lake ni jengo la utawala. Anybody knows what happened here? Concerned and curious citizen.
Screenshot_2020-10-17-17-38-36-1.jpg
 
Miradi yote hapa Tz iliyozinduliwa ramani na kilichofanyikaa huwa ni tofauti, anzia daraja la tazara pale na lile la ubungo
 
Awali tulitaarifiwa kuwa kutakuwa na majengo mawili katika station hiyo lakini mpaka sasa limejengwa moja tu. Lililojengwa ni la station yenyewe na pacha lake ni jengo la utawala. Anybody knows what happened here? Concerned and curious citizen.[

Tuliza kipapa, hilo jengo lingine ni la utawala, halina haraka.
 
Back
Top Bottom