DAR: Polisi wamkamata watu 106 stendi ya Ubungo kwa kuwabugudhi na kuwaibia raia


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,110
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,110 280
DAR: Jeshi la polisi limewakamata watu 106 katika stendi ya mabasi Ubungo kwa makosa ya wizi,uvamizi wa abiria na unyang'anyi wa mizigo

Kamanda wa Polisi kanda ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa anasema polisi waliwakamata watu hao baada ya kufanya msako mkali kufuatia kuongezeka kwa uhalifu unaofanywa kwa abiria waendao mikoani

Watuhumiwa 95 walikamatwa kwa makosa ya kuwabugudhi abiria na kuwanyang'anya mali walizonazo

Watu hao wamepekekwa mahakama ya jiji


Chanzo: Global TV
 
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,775
Likes
545
Points
280
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,775 545 280
Mahakam ya jiji...!
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,579
Likes
5,081
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,579 5,081 280
duh! kazi nzuri....so wanaenda kushtakiwa kwa makosa ya wizi
 
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,582
Likes
2,611
Points
280
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,582 2,611 280
Watu au wapiga debe, mbona wale ni kawaida yao kugombania abiria. Hii serikali inapenda media
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,103
Likes
1,912
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,103 1,912 280
Watu
 
asubuhi sana

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Messages
1,374
Likes
897
Points
280
asubuhi sana

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2015
1,374 897 280
Ndo mtuambie ili iweje tuje kuwatolea mizamana?
 
expedition

expedition

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Messages
566
Likes
1,835
Points
180
expedition

expedition

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2016
566 1,835 180
Chanzo ni juzi j3 kuna demu mmoja alikua anaenda arusha inasemekana ni familia ya bosi mmoja alizinguliwa na wapiga debe haikupita dk 20 ikaanza palasa palasa!
Chanzo ni j3, na source ni nini?
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,862
Likes
3,720
Points
280
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,862 3,720 280
Bila wapiga debe yawezekana, kwani lazima wawepo? Waende wakalime...
 
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,282
Likes
1,503
Points
280
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,282 1,503 280
Binafsi sipendi wapiga debe huwa wananikera sana
 
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
14,462
Likes
26,061
Points
280
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
14,462 26,061 280
Jambo Zuri Hili

Kiviere Wa Usangi
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
Wamekamatwa leo,wataachiwa kesho na kesho kutwa tutakua nao tena Ubungo umekua ni igizo endelevu.
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,986
Likes
4,042
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,986 4,042 280
Afadhali wameondolewa wanaudhi sana zoezi hilo liende na stend zingine kama moshi Nyegezi nk
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,400
Likes
17,393
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,400 17,393 280
Nyambafu zao, nilikuwa nashangaa tokea muda mrefu kwa nini wanawaacha hao wahuni!
Siku moja walinizingua nikawaambia wanitafutie gari naelekea zanzibar, nlichobaki kukisikia ni kwamba walikuwa wakitaja majina ya viungo vya siri vya binadamu tu!
 
zous

zous

Senior Member
Joined
Sep 25, 2017
Messages
194
Likes
158
Points
60
zous

zous

Senior Member
Joined Sep 25, 2017
194 158 60
Safi xnaa wanatakiwa kufukuzwa wote wanakera kwa kweli wanaeza kukupandisha gari la ajabu usipokua makin
 
M

mwalimu lyapongoka

Senior Member
Joined
Dec 28, 2016
Messages
174
Likes
203
Points
60
Age
60
M

mwalimu lyapongoka

Senior Member
Joined Dec 28, 2016
174 203 60
Bila wapiga debe yawezekana, kwani lazima wawepo? Waende wakalime...
Watu wengi wamewekeza kwenye usafirishaji hivvo biashara ya transportation imekuwa na ushindani mkubwa sana ndio maana wale wapiga debe walikuepo kufanya marketing pale stand
 
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,282
Likes
1,503
Points
280
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,282 1,503 280
Watu wengi wamewekeza kwenye usafirishaji hivvo biashara ya transportation imekuwa na ushindani mkubwa sana ndio maana wale wapiga debe walikuepo kufanya marketing pale stand
Marketing sio lazima wapiga debe wakina scandinavia walifanya vizuri bila wapiga debe
 

Forum statistics

Threads 1,252,030
Members 481,989
Posts 29,793,733