JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 6,809
- 14,155
Haya mazoezi yangefanyika kipindi kile Kuna wimbi la "wasiojurikana"ingeleta heshima,tatizo jeshi hili ni Attach dogs ya the ruling elites.hawana akili zao,wanafanya wanachoamlishwa,Ili mradi ugari upatikane.Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.