Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,703
2,000
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Haya mazoezi yangefanyika kipindi kile Kuna wimbi la "wasiojurikana"ingeleta heshima,tatizo jeshi hili ni Attach dogs ya the ruling elites.hawana akili zao,wanafanya wanachoamlishwa,Ili mradi ugari upatikane.
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,401
2,000
Wanachama wa chadema wamegoma kufanya maandamano yao kesho baada ya kugundua kuwa viongozi wakubwa wa chama hicho hawatokuwepo maandamanoni. Ukweli ni kwamba hakuna mtu atakaekuwa tayar kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya maisha ya mtu mungine. Kesho viongozi wa chadema wakishiriki maandamano kama wanavyomaanisha nyumbu wao hapa jukwaani, basi mi nitachoma nyumba yangu moto live afu niwatumie video muione inavyoteketea.
Nyumba yang imepona kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa Chadema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom