Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

All in all ninachotaka kusema ni kwamba wajumbe wa Kamati kuu na Halmashauri kuu za wakati ule walikuwa na busara sio hawa wa sasa!!! Wale walikuwa na uthubutu wa kumwambia mwenyekiti wao kuwa ALIKUWA UCHI anabidi kujisitili; hawa wa leo hata kama Magufuli ni mtupu watasema amevaa Nguo!!!
hivi huyo Bdodi ndiye alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shule za wakulima ?zilipotelea wapi
Budodi sina uhakika kama alikuwa na busara hizo , kwani Nyanza co op union isingekuwa inachezewa kama ilivyochezewa au kutumika kwa maslahi us wachache, labda busara ya kutetea maslahi ya kikundi chair sawa.
hivi huyo Budodi si ndiye alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shule za wakulima ?zilipotelea wapi
 
hivi huyo Bdodi ndiye alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shule za wakulima ?zilipotelea wapi

hivi huyo Budodi si ndiye alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shule za wakulima ?zilipotelea wapi
Uongozi mbovu toka juu mpaka chini, kila Mtu anachukua mbali zake kama mchana, sasa sijui kama uongozi wa sasa unaweza kujadili hiyo hali na watu kuwa na uelewa wa kulinda kilicho chao
 
Back
Top Bottom