Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,636
8,026
Mtamkumbuka Mh Lisu namna ambayo alilisimamia suala la kulipuliwa kwa ofisi za IMMA Advocates. Sasa tuwasubiri wale mawakili waliokataa kushiriki ule mgomo watasemaje. Labda wawe upande wa watekaji, vinginevyo lazima na wao wajiandae kunyolewa! By the way nasikia wamenyimwa ukumbi kwa ajili ya mkutano wa mawakili huko Arusha.
Yeah, AICC to Mt.Meru.
Ila wameambiwa kwa tarehe hiyo kuna mpangaji labda kama wangesogeza mbele,kwa mujibu wa mwananchi

May Allah bless Me and You
 

makinikia 101

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
491
875
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Mkuu, ni kwanini unahisi watu wanawahusisha hao wezi na fisiem? Mbona mtoa post ameongea neutral sana? Basi ushatupatia majibu
 

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,126
29,140
Asante baba jeska , ni wa kukuna wanaowashwa

Kweli safari hii watanzania tutakoma kuringa.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 

infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
157
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...
Nyani sometime jiongeze, kwenye masuala ya usimamizi wa fedha ni jambo la kawaida kuwa na kabati la fedha aka au safe au cash box, cha ajabu nini hapo? halafu kama watu hawajulikani we ulitaka iripotiwe vipi? wanajulikana?
 

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,469
722
Hivi Manji account zake za Bongo ziko frozen, if yes then inawezekana anatunza hela huko kwa wakili wake kwenye Safe kwa pesa anazochukua from his overseas accounts. Hana access na bank hivyo wapigaji yawezekana walinusa kuwa Safe ina mpunga wa kutosha.
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,282
17,046
Huyo wakili anatunza fedha kwenye kabati la ofisini kwake?

Wahshi kabisa yaani!!

Halafu ni watu wasiojulikana kivipi?

Toka lini wezi wakawa wanajulikana?

Manake isije tu kuwa ni wezi wa kawaida lakini nyie mnataka kuwahusisha na CCM...

Umeharakisha sana hiyo conclussion yako. BTW unataka hata perty cash ikae benki?
 
16 Reactions
Reply
Top Bottom