Dar ni Jiji la UKAWA linaloendeshwa na Makonda!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,267
33,870
Awe ni Daudi Albert Bashite ama ni Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa ndiyo anayeendesha jiji la Dar es salaam na kila kinachofanywa na UKAWA kinavurugwa na Mkuu huyo wa Mkoa.

Inaonekana kama vile UKAWA wamepoteana ama wamekubali yaishe kwani watumishi wa Halmashauri zinazoongozwa na UKAWA wanamsikiliza zaidi Makonda kuliko wanavyowasikiliza mameya wa UKAWA.

Makonda anapanga na kutekeleza mambo mbali mbali na UKAWA hawasikiki kabisa wao ni nini wanafanya Dar. Enzi za Kitwana Kondo na Didas Masaburi (wote marehemu) ilikuwa inajulikana kuna Meya kwa kuwa wakuu wa Mkoa waliokuwepo waliwapa nafasi ya kufanya kazi zao. Isaya Mwita ni kama amefichwa na Makonda.

Jee ni nini kimewasibu UKAWA walioaminiwa na wana Mzizima hata kumwachia Makonda aseme na kufanya atakalo kwenye Halmashauri zao wao wakiwa kimya. Ni rahisi kwa Makonda kuzuia mambo ya UKAWA kuliko UKAWA kukataa mambo ya Makonda!
 
Unauliza jibu Bashite mume ndio no 1 unategemea nn
 
Watu wa Dar wanataka maendeleo na sio malumbano...Makonda anapambana vilivyo kwa manufaa ya wananchi.
Maendeleo sijayaona, tangu jamaa kushindws kuweka vyeti hazarani, kila kitu anachogusa hakifiki mwisho, vijana sasahivi wanapiga bangi kuliko wakati wowote, jiji limekuwa chafu zaidi na watu wameminywa haki yao ya kufanya maendeleo hasa hasa jumamosi. Nyimbo za viwanda zinaimbwa wakati uchumiunazidi poromoka. Afadhari wakati wa Kikwete, hakujitapa na mambo yalikuwa powa, sijui kwakuwa kaajiri watu wenye vyeti feki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yawezekana wewe ni mmoja wapo wa wapiga bangi
 
Awe ni Daudi Albert Bashite ama ni Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa ndiyo anayeendesha jiji la Dar es salaam na kila kinachofanywa na UKAWA kinavurugwa na Mkuu huyo wa Mkoa.

Inaonekana kama vile UKAWA wamepoteana ama wamekubali yaishe kwani watumishi wa Halmashauri zinazoongozwa na UKAWA wanamsikiliza zaidi Makonda kuliko wanavyowasikiliza mameya wa UKAWA.

Makonda anapanga na kutekeleza mambo mbali mbali na UKAWA hawasikiki kabisa wao ni nini wanafanya Dar. Enzi za Kitwana Kondo na Didas Masaburi (wote marehemu) ilikuwa inajulikana kuna Meya kwa kuwa wakuu wa Mkoa waliokuwepo waliwapa nafasi ya kufanya kazi zao. Isaya Mwita ni kama amefichwa na Makonda.

Jee ni nini kimewasibu UKAWA walioaminiwa na wana Mzizima hata kumwachia Makonda aseme na kufanya atakalo kwenye Halmashauri zao wao wakiwa kimya. Ni rahisi kwa Makonda kuzuia mambo ya UKAWA kuliko UKAWA kukataa mambo ya Makonda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Maajabu+ya+dunia....+Nyoka+yamganda+mwizi+uko+uganda.3gp
    2.9 MB · Views: 25
Kumuweka Makonda kama RC wa Dar ni strategy ambayo imefanya kazi vyema kwa upande wa CCM, uchapakazi wa Makonda unawafanya Madiwani, Wabunge na Mameya wa UKAWA kuonekana hakuna wanachofanya maana kila kitu cha maendeleo ya jiji kinaanzishwa na Makonda na wanahakikisha kuwa ni yeye ndiye anayesikika zaidi kuliko hao jamaa wa UKAWA. That explains why mkuu hataki kumuondoa Dar pamoja na kelele zote za wananchi, kazi anayofanya ni wachache sana (kama wapo) wanaoiweza.
 
Awe ni Daudi Albert Bashite ama ni Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa ndiyo anayeendesha jiji la Dar es salaam na kila kinachofanywa na UKAWA kinavurugwa na Mkuu huyo wa Mkoa.

Inaonekana kama vile UKAWA wamepoteana ama wamekubali yaishe kwani watumishi wa Halmashauri zinazoongozwa na UKAWA wanamsikiliza zaidi Makonda kuliko wanavyowasikiliza mameya wa UKAWA.

Makonda anapanga na kutekeleza mambo mbali mbali na UKAWA hawasikiki kabisa wao ni nini wanafanya Dar. Enzi za Kitwana Kondo na Didas Masaburi (wote marehemu) ilikuwa inajulikana kuna Meya kwa kuwa wakuu wa Mkoa waliokuwepo waliwapa nafasi ya kufanya kazi zao. Isaya Mwita ni kama amefichwa na Makonda.

Jee ni nini kimewasibu UKAWA walioaminiwa na wana Mzizima hata kumwachia Makonda aseme na kufanya atakalo kwenye Halmashauri zao wao wakiwa kimya. Ni rahisi kwa Makonda kuzuia mambo ya UKAWA kuliko UKAWA kukataa mambo ya Makonda!

Point less !
 
Sisi tunashukuru maana walipokuwa wao hawakuwa wanajituma Hivi, Ushahidi wa hilo ni Arusha na Dar, Gambo Mara agawe Pikipiki, Makonda agawe Miguu, yote Haya ni kujibembeleza kwa wananchi, Ndio faida ya kuchagua Upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom