Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,530
2,141

Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?​

" Hakuna kama Samia "​

Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21 na dk 31 Mchana na Usiku nanisawa na masaa 43 kwenda na kurudi,

Boing 787-8 engine inatumia lita 5,400 za mafuta kwa lisaa limoja yaani ( 5,400L/h )

Fanya hivi, chukua lita 5,400 za mafuta zidisha kwa masaa 21.31 utapata jumla ya Lita 115,074 za mafuta ili kufika New York Marekani yaani ( one way)

Tunafahamu,bei ya Lita moja ya mafuta ya ndege (Jet fuel) hapa Tanzania kama trh 24|09|2021 ni $0.501/lita sawa na Tshs 1,162

Ilikupata gharama ya mafuta Dar es salaam to New York ,Chukua lita hizi 115,074 zidisha kwa bei ya lita moja ambayo ni Tsh 1,162 utapata jumla ya Tshs 133,653,240 kwa Safari moja tu ( One way)

Ilikupata gharama ya safari zote mbili yaani kwenda New York na kurudi,Zidisha gharama ya mafuta ya kwenda Tshs 133,653,240 X 2 ilikupata gharama halisi ya mafuta ya Dar es Salaam to New York two ways ,Utapata Jumla ya Tsh267,306,480 hii ni pesa ya mafuta tu yakwenda New York na kurudi Dar es salaam,

Hapa hatujazungumzia rate ya landing fees, Parking fees nanyinginezo watu wa aviation wanafahamu hizi gharama vizuri, kwakuwa Mimi si mtaalum wa mambo Aviation naomba niishie hapa kwenye mathematical calculation ya gharama ya mafuta tu ambayo ni karibu 270M,

Sasa mnaolalamika Rais katumia gharama kubwa sikieni hii,Emirates gharama ya Mtu mmoja kwenda New York na kurudi Dar es salaam kwa Economy Class ni Tsh 2,854,500 kama utakaa huko chini ya Siku 7 ,

Sasa kwa kadirio la juu kabisa tufanye mama ameenda na watu|deligates 50 japo naamini ameenda na chini ya hawa,
Chukua 2,854,500 7X 50 Utapata jumla ya Tshs 142,725,000 ,

Chukua gharama ya mafuta ya Boing 787-8 ya kwenda New York na kurudi Dar es salaam ambayo ni Tshs 267,306,240 toa 142,725.000 ambayo ni nauli ya watu 50 utapata Salio la Tshs 124,581,240,
( watu 50 ni makadirio ya juu kabisa sio idadi kamili mwenye idadi kamili anaweza kutupa )

Rais Samia anajua umasikini wa watu wake, anajua hakuna madawa, anajua barabara mbovu, anajua watu wanamaisha magumu ndio maana anasafiri na Emirates pamoja na kwamba Tanzania tunazo ndege mpya 11,

Mnaotaka rais aende na dreamliner New York rudieni kusoma uchambuzi huu, Mnaosema rais anatumia gharama kubwa kwenda New York angalieni hii nia ya Rais katika kukwepa gharama zisizo za lazima,

NB, Kitendo cha Rais Samia kwenda na usafiri wa umma amepunguza gharama ya Safari kwa 50% na kwahaki nchi ilimsubiri kiongozi wa aina hii kwa muda mrefu,

photo_2021-10-09_11-57-09.jpg

"RAIS MZALENDO SAMIA SULUHU HASSAN AKISHUKA KWENYE USAFIRI WA UMMA"
 
For your reference,

👇🏿👇🏿👇🏿

Wanazengo mnafahamu ni kwanini Rais Samia aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?!
_________________________________

Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21 na dk 31 Mchana na Usiku nani sawa na masaa 43 kwenda na kurudi,

Boing 787-8 engine inatumia lita 5,400 za mafuta kwa lisaa limoja yaani ( 5,400L/h )

Fanya hivi, chukua lita 5,400 za mafuta zidisha kwa masaa 21.31 utapata jumla ya Lita 115,074 za mafuta ili kufika New York Marekani yaani ( one way)

Tunafahamu,bei ya Lita moja ya mafuta ya ndege (Jet fuel) hapa Tanzania kama trh 24|09|2021 ni $0.501/lita sawa na Tshs 1,162

Ilikupata gharama ya mafuta Dar es salaam to New York ,Chukua lita hizi 115,074 zidisha kwa bei ya lita moja ambayo ni Tsh 1,162 utapata jumla ya Tshs 133,653,240 kwa Safari moja tu ( One way)

Ilikupata gharama ya safari zote mbili yaani kwenda New York na kurudi,Zidisha gharama ya mafuta ya kwenda Tshs 133,653,240 X 2 ilikupata gharama halisi ya mafuta ya Dar es Salaam to New York two ways ,Utapata Jumla ya Tsh267,306,480 hii ni pesa ya mafuta tu yakwenda New York na kurudi Dar es salaam,

Hapa hatujazungumzia rate ya landing fees, Parking fees nanyinginezo watu wa aviation wanafahamu hizi gharama vizuri, kwakuwa Mimi si mtaalum wa mambo Aviation naomba niishie hapa kwenye mathematical calculation ya gharama ya mafuta tu ambayo ni karibu 270M,

Sasa mnaolalamika Rais katumia gharama kubwa sikieni hii,Emirates gharama ya Mtu mmoja kwenda New York na kurudi Dar es salaam kwa Economy Class ni Tsh 2,854,500 kama utakaa huko chini ya Siku 7 ,

Sasa tufanye mama ameenda na watu|deligates 50 japo naamini ameenda na chini ya hawa,
Chukua 2,854,500 7X 50 Utapata jumla ya Tshs 142,725,000 ,

Chukua gharama ya mafuta ya Boing 787-8 ya kwenda New York na kurudi Dar es salaam ambayo ni Tshs 267,306,240 toa 142,725.000 ambayo ni nauli ya watu 50 utapata Salio la Tshs 124,581,240,

Rais Samia anajua umasikini wa watu wake, anajua hakuna madawa, anajua barabara mbovu, anajua watu wanamaisha magumu ndio maana anasafiri na Emirates pamoja na kwamba Tanzania tunazo ndege mpya 11,

Mnaotaka rais aende na dreamliner New York rudieni kusoma uchambuzi huu, Mnaosema rais anatumia gharama kubwa kwenda New York angalieni hii nia ya Rais katika kukwepa gharama zisizo za lazima,

NB, Kitendo cha Rais Samia kwenda na usafiri wa umma amepunguza gharama ya Safari kwa 40% na kwahaki nchi ilimsubiri kiongozi wa aina hii kwa muda mrefu,

_________________________________

View attachment 1952267

Duuuuh,

Naona vijana mnakaza kwelikweli, hatupumui,
Nikweli alichofanya Rais nikupunguza gharama sana,
kwenda na ndege binafsi gharama ni kubwa,

Hongera rais Samia, Karibu nyumbani
 
Wanazengo mnafahamu ni kwanini Rais Samia aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?!
_________________________________

Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21 n
Kakosea kuacha kwenda na ndege yetu. Ningekuwa mimi ningetinga na dege letu. Yaani linatua Swiss au Uk, then linaunga. Mambo ya kundandia wakati sisi si nchi masikini ni kujiendekeza. So kwangu hiyo siyo sifa.
 
Wanazengo mnafahamu ni kwanini Rais Samia aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?!
_________________________________

Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21
Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.

Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!
 
Praise team at work!
Msela kaandika upupu, rais angepanda Emirates na kwenda na delegation ya watu 10 gharama zingekuwa ndogo sana kama nia ni kupunguza gharama

kwa kifupi imekata zaidi ya 1 million usd, maana Tarmac fees za huko kwa mabeberu mara ya mwisho nilisoma mtandaoni zilikuwa zimechangamka mno ukijumlisha na mafuta ya ndege sio pesa ndogo
 
Mama ameenda na Emirates ni jambo sahihi kabisa ila jambo nalopinga kweli mtu kutoka UN katika majukumu yake yanahitaji sherehe ya kumpokea maana hizi ni gharama na hayana msingi mbona tunakuwa kama malimbukeni nini cha ajabu kwenda UN? hapa mimi ndio nachukizwa ni kama Mama anatumia nguvu kubwa 2021 kwa kampeni ya 2025. Low confidence
 
Unapofikiri unasifia kumbe unaharibu...., Bure hizi hoja ungeachana nazo kuliko kuwakumbusha watu.... ?

Unajua uzalendo zaidi na kupunguza gharama ? Kwenda na delegation ya watu wachache.

Unataka watu wasahau kwani watasahau lini kutwa wanakumbushwa,

Mwandishi namsifu amekuja na utetezi wa hoja,

CCM sihami mpaka nakufa tunahazina kubwa,

Karibu Samia nitakuja airport kesho
 
msela kaandika upupu, rais angepanda Emirates na kwenda na delegation ya watu 10 gharama zingekuwa ndogo sana kama nia ni kupunguza gharama
kwa kifupi imekata zaidi ya 1 million usd, maana Tarmac fees za huko kwa mabeberu mara ya mwisho nilisoma mtandaoni zilikuwa zimechangamka mno ukijumlisha na mafuta ya ndege sio pesa ndogo
🚮🚮🚮🚮 Unajua makadirio wewe, Wapi kasema idadi kamili,
Mmezoea udaku soma kwa kutulia
 
Mama ameenda na Emirates ni jambo sahihi kabisa ila jambo nalopinga kweli mtu kutoka UN katika majukumu yake yanahitaji sherehe ya kumpokea maana hizi ni gharama na hayana msingi mbona tunakuwa kama malimbukeni nini cha ajabu kwenda UN? hapa mimi ndio nachukizwa ni kama Mama anatumia nguvu kubwa 2021 kwa kampeni ya 2025. Low confidence
🚮🚮🚮🚮 Mnaomchafua mnatumia nguvu kiasi gani?
 
Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.

Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!
🚮🚮🚮🚮 Machadema atakusoma hamjui
 
Back
Top Bottom