Dar: Ndege ndogo yaanguka Kitunda, ilikuwa inatokea Mufindi

kwa model ya hio ndege, huenda ilikuwa na mwanafunzi na mwalimu wake, na itakuwa mwanafunzi amekoroga procedures za kufanya ukiwa unakaribia kutua. Muhimu wametoka salama.
 
ndege kama hiyo nduli airport niliambiwa nauli ni 400,000 iringa to dar..
 
ndege kama hiyo nduli airport niliambiwa nauli ni 400,000 iringa to dar..
Mkuu si bora ununue kwa mkopo tu au yuzed ya kwako maana mpya inauzwa mil 27 according to Google ila used ni kama mil 14 hiv
Screenshot_20200909-145443_Google.jpg
 
pILOT ALIKUWA NA DEMU WAKE.ANAISHI PALE.KITINDA AKAMWONYESHA ANAWEZA KUTUA HAPO KWAO BILA KIBALI
CONGS MADADA ZETU
ILA MNAOKAA KITUNDA MTASHAA KUTOHAMA.SIKUMOJA BORING IKITUA KWENYE MABATI YENU
Pilot kasoma Physics mchikichini
 
Back
Top Bottom