Dar na mitandaoni kunanuka mashoga na mabaradhuli

Daa hawa viumbe wanabowa sana unakuta mtu anakuomba ulafiki mwisho wa siku mna chati utasikia anko naomba namba yako tuwasilia tubadilishane mawazo utasikia una whatssap ukimjibu ndio hapo sasa umeyakanyaga mara ooo umeowa mara ooo una watoto ukimjibu Sina umeyakanyaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakunukuu
"watu wanajifanya mbele ya watu kuwa wanapinga hayo matendo ila nyuma ya pazia ndo mashoga wenyewe"
mti wenye matunda ndio hupigwa mawe iweje wewe tu ndio ufatwe ig, fb, hadi huku ambako id ni anonymous? una nyota nao mzee beware!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hakuna sehemu ngumu kwangu hata kwa kupita tuu kama kino.
Yaani mwili unasisimuka. Sisi wote wadhambi ila kuna dhambi ngumu dah!!! Kuna siku enzi hizo wakati nikisoma chuo posta chakula ikawa shida. Ikabidi nihangaike mpaka breakpoint pale. Nikiwa kwenye foleni walikuja wakaka wazuri weupeee yaan you can call them cute. Nikajisemea yaani kudate wakaka wa hivi ni heart attack. Wamecaa vile vipensi vyao vya kwenye mapaja. Tukiwa tunaendelea kusubiria foleni booommm likaja kundi kuubwaaa mno la wanaume wengine. Wazuri mnoo. Only to find out walikua gays. Yaan nilitapata maumivu ya mama zao kwa niaba. Zile chips nilitamani kuziacha maana niliona kinyaa tena. Sijui kulikua na nini mpaka meeting point yao ikawa pale. Yaan niliondoka lile eneo upesi sijui hata hostel nilifikaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jirekebishe kwanza wewe"mfano nzuri"ndo nini?ndo maana unafuatwa inawezekana na wewe una elements za kipunga punga.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom