Dar: Mwandishi wa habari Bollen Ngetti akamatwa na Polisi, apelekwa Sitakishari

FB_IMG_15652682086670772.jpg

Moja
ya mambo yake yasiyo na tija yoyote kwa mtazamo wangu binafsi.
 
Naona polisi wamezidi kuharibu hali ya hewa ya mkutano wa SADC. Hivi polisi wa Tz huwa hawajifunzi?

Walifanya makosa makubwa kwa kumkamata Eric Kabendera siku chache kabla ya maonyesho ya SADC, hali iliyopelekea maonyesho yale yakose Local and International media attention (hili suala mpaka waziri mmoja kakiri), leo tena polisi wameanza kurudia kufanya makosa yale yale wakati mkutano wa SADC unakaribia kuanza.

Unnecessary attention.
Poorer Tz.
 
Mi nilijuaga huyu msela ameshavuka boda baada ya kukoswa koswa kwny ile ajali,kumbe alikua bado bongo.
Kuna kipindi alipost kwny page yake ya facebook akisema alipata ajali akiwa na gari yake(grande mark 2) mitaa ya ubungo external nadhani,alisema amegongwa na gari nyingine iliyomfuatilia kwa muda mrefu na ilipomgonga ilitokomea kusikojulika.
 
Naona polisi wamezidi kuharibu hali ya hewa ya mkutano wa SADC. Hivi polisi wa Tz huwa hawajifunzi?

Walifanya makosa makubwa kwa kumkamata Eric Kabendera siku chache kabla ya maonyesho ya SADC, hali iliyopelekea maonyesho yale yakose Local and International media attention (hili suala mpaka waziri mmoja kakiri), leo tena polisi wameanza kurudia kufanya makosa yale yale wakati mkutano wa SADC unakaribia kuanza.

Unnecessary attention.
Poorer Tz.
WataachaJe kumfurahisha mtu ?! Mwenyezi Mungu atuvushe ndilo ombi letu
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom