Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961


Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,
dada akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga
baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa
 
Back
Top Bottom