Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

Kwa dar hayo mambo yanafanywa na wanawake tuu
Wanaume wa dar wanamkimbiza mwizi baada ya kudondosha bunduki,
Ha ha ha ha
kuna mwanaume mmoja bodaboda alishasaidia tukio la kukamatwa jambazi hapa Dar
 
Hongera zake na mwenyezimungu amnusuru na kila balaa za duniani na akhera.
Pia serikali imfidie na nyongeza ya hizo pesa walizo chukuwa na wamtengenezee gari yake ilipo haribika.
 
Ni kitendo cha ushujaa sanaa.
Japo bado kwangu namlaumu, kwanini ameshindwa kuwagonga vizuri wakafia hapo au wakapata majeraha makubwa mpaka washindwe kusimama
Pokezi kwake
 
Hongera dada!!!! Ila kauli ya Kamanda Sirro imenifanya nijiulize mashali mengi! Kauli ya kusema angewagonga awauwe kabisa....hii si kuchukuwa sheria mkononi
 
Hongera kwa kunyan'ganya silaha majambazi ameokoa watu wengi sana. Polisi wampe zawadi.
 
Back
Top Bottom