Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 2,939
- 5,849
Hivi hujui kuwa Mungu pia ni nafsi? Vp naye ataonja mauti???Jidanganye, kila nafsi itaonja umauti.
Toka huko gizani mkuu!
YESU NI MWOKOZI
Hivi hujui kuwa Mungu pia ni nafsi? Vp naye ataonja mauti???Jidanganye, kila nafsi itaonja umauti.
unasali kwa mwamposa.Hivi hujui kuwa Mungu pia ni nafsi? Vp naye ataonja mauti???
Toka huko gizani mkuu!
YESU NI MWOKOZI
Kuna kitu kimoja sijaelewa hata kama ni hao wauwaji wa kwenye Noa kama inavyosemekana ndio waende watupe mwili kwenye sehemu ambayo wao boda boda wanapaki piki piki zao!!???Lakini usiku huo muda mfupi kabla ya tatizo hilo la kukutwa amefariki alikuwa anakunywa pombe na rafiki yake pale sokoni Makumbusho stendi na alikuwa amelewa sana(kulingana na wenyeji sokoni ambapo Blandina naye ni mwenyeji mno hilo eneo kwani aliwahi kuwa na jiko la chakula na ana rafiki yake mpendwa).
Wenyeji wao wanahisi ni ajali ya pikipiki kwa sababu alipokuwa amelewa muda wa usiku aliita pikipiki na baadhi wakamzuia kwamba achukue taxi kulingana na alivyokuwa amelewa na hali yake ya mkono lakini alikataa na kuondoka na pikipiki kwa safari ya Bunju usiku ule. Baada ya muda walipata taarifa ya kuwa amepata ajali na kufariki maeneo ya mwenge.
Hapa polisi wanaweza kuanzia pale alipokuwa anakunywa na wakaongea na rafiki yake na wakaangalia kiwango cha pombe na aina ya majeraha. Nadhani hapo watakuwa wameanza kupata picha kamili ya tukio hilo.
Suala la hao bodaboda waliosema hivyo huenda wamemlinda mwenzao. Wachunguze yote ili wasitokee watu wakahamisha uchunguzi kwa propaganda.
Haya ndio niliyasikia siku ya jana jumapili baada ya kifo chake.
Mtaani tunasikia mengi
AminaNaamini haki itatendeka. Haiwezekani wauaji waachwe kirahisi tu kudunda mtaani.
Nilimuona RPC wa Kinondoni akitoa maelezo au hayakujitosheleza?Amina
Kifo hakikosi sababu bwashehNilimuona RPC wa Kinondoni akitoa maelezo au hayakujitosheleza?
Kuishi na mwanamke kunataka ujasiri na uvumilivu, wengi ni pasua kichwa, unaweza ukafanya jambo bayaDaah! dada, wa watu sijui ni nini kimemsababisha auwawe
Wale wati waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba kule Mto Ruvu ile ilikuwa utawala wa nani..? Ukipata jibu tuliza makalioHaya ya utekaji na uuaji tulishayasahau,yani Jiwe kaondoka tu haijapita hata mwezi tayari maonezi yameanza. Daah so sad
Hizi Imani hizi ni vema kila mtu akaamini kivyake...., Hivi kwa mujibu wa Kitabu chako Yesu Hakusurubiwa ? Yaani it is written kwamba alikufa siku ya tatu Akafufuka ?, Au wewe ulielewaje ?Hivi hujui kuwa Mungu pia ni nafsi? Vp naye ataonja mauti???
Toka huko gizani mkuu!
YESU NI MWOKOZI
Hmm! Unataka kusema kwamba kifo cha huyu dada kinaweza kuwa mapenzi ndio chanzo ?Kuishi na mwanamke kunataka ujasiri na uvumilivu, wengi ni pasua kichwa, unaweza ukafanya jambo baya
Ya Lwajabe kwanini hakuachiwa RPC wa Pwani ?Nilimuona RPC wa Kinondoni akitoa maelezo au hayakujitosheleza?
Nawaza tuHmm! Unataka kusema kwamba kifo cha huyu dada kinaweza kuwa mapenzi ndio chanzo ?