Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

mkenya aliyejigeuza kuwa mtanzania
Tanzania bana yaani TISS wanashindwa kumchunguza mtu kama ni Raia au sio raia.hadi mnampa secta nyeti??? Viongozi ndio maana wanapata aibu...


Wale wanaotoa adhabu ya kukalia chupa hadi izame...ukiingia sehem za mateso ukutani damu zimetapakaa..kuna watu wanroho mby sana. Ndio wanaokufa wametoa ulimi
 
Polis wetu kwa upepelez wako vzur

Semea kuna wakati wanakua wajinga.


Hapo weshafatilia kwenye simu,.meseji na sim zote


Watakamatwa tu hao, siku chache
 
maisha ya dunia hayadumu kila mmoja ataondoka dunia hii kwa njia yake
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom